Naomba kuelekezwa kuhusu VETA Chang'ombe

Mwanamke wa mithali 31

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2024
Posts
1,339
Reaction score
3,094
Nina mdogo wangu wa kiume ali graduate kidato cha 4 mwaka 2023 alipata division 3.

Alipangiwa college kile chuo kipo pale temeke cha utalii ( course ya kuongoza watalii)

Niliwaeleza wazazi wangu huyu apelekwe veta wakakataa
Bas akaenda kusoma hapo na kamaliza mwaka huu na sasa yupo tu nyumbani,

Sasa mimi nataka aende veta ili akajifunze fani ya ujuzi ambayo haitamsumbua kujiajiri au kupata kazi, kama kuendesha mitambo n.k

Basi naomba mnielekeze kitu gani aende akasomee huko veta chang'ombe ??
 
VETA Chang'ombe ndio chuo kikubwa nchini kina kozi nyingi sana ambazo haziko kwenye vyuo kama hivyo huko mikoani na wilaya, Ina mitambo mikubwa ya kujifunzia ufundi. Ajira zinaanzia hapohapo kwa watakaofanya vizuri zaidi kwenye fani zao. Huko mitaani hutakaa bila kazi ya kufanya kuna fursa nyingi za ufundi uliojifunza
 
Ahsante sana
 
Hii kitu ya kumwamulia mtoto asome kitu Fulani bila kujua yeye anataka nini , Huwa inaharibu maisha ya mtu , anakua anafanya kitu Bora liende tu.
ni kweli meku na sijui kwa nini watu anafikiri kuna fani mbaya
 
Nina mdogo wangu wa kiume ali graduate kidato cha 4 mwaka 2023 alipata division 3.

Alipangiwa college kile chuo kipo pale temeke cha utalii ( course ya kuongoza watalii)

Niliwaeleza wazazi wangu huyu apelekwe veta wakakataa
Bas akaenda kusoma hapo na kamaliza mwaka huu na sasa yupo tu nyumbani,

Sasa mimi nataka aende veta ili akajifunze fani ya ujuzi ambayo haitamsumbua kujiajiri au kupata kazi, kama kuendesha mitambo n.k

Basi naomba mnielekeze kitu gani aende akasomee huko veta chang'ombe ??
Pitia post za Bongo digital network Facebook au Instagram au tiktok utapata majibu yako.
 
Uliwaambia wazazi akasome VETA wakakataa, wakampeleka kijana chuo cha kuongoza watalii, sasa hivi unataka tena aende VETA ila hujui huko VETA akasomee nini wala hujaongea na muhusika kujua kama yeye anataka kusomea nini au anataka ajira ya kile alichokisomea?

Anyway, ingia website ya VETA angalia course wanazotoa kaa chini na muhusika mjadili kwa pamoja
 
Yeye anataka aone nini kinatokea mtu [akishasoma] VETA? kwa hio anamtumia ndugu yake km Shamba Darasa sio kwamba ndugu yake ndio anaetaka kusoma VETA in short ndugu yake inaonekana yeye masuala ya VETA hayamuingii kabisa km ni hivyo aende yeye akasome VETA km kusoma VETA ndio kutoboa maisha..
 
Back
Top Bottom