Naomba kuelekezwa kuhusu VETA Chang'ombe

Naomba kuelekezwa kuhusu VETA Chang'ombe

Kwanza ungemuuliza kijana anataka nini?

Halafu kijana ndio kwanza kamaliZa chuo mwaka jana unataka apate ajira papo hapo

Ushauri wangu kwa vile n muongoza watalii sasa aongeze vitu vitakavyompa thaman katika taaluma yake mfano

Asomee udereva (apate leseni)
Aongeze lugha za komataifa ( frech kijeruman kiingereza kiitaliano kireno na kihispaniola)
Kupitia hayo atakuwa tofauti na tour guide wengine

Hakikisha akai mbali na maeneo ambayo utalii umeshamiri usije ukawa unashi buhigwe ambako utalii haufanyik lakn unataka ajira

Utalii umekaa kisekta binafsi zaid
 
Back
Top Bottom