Naomba join instruction ya Same school of Nursing- Kilimanjaro

Amon Mtekateka

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
1,225
Reaction score
333
Kuna mdogo wang amechaguliwa katika iko chuo mapema tu tena katika batch ya kwanza lakni cha kushangaza mpaka leo hakuna dalili ya kupatikana izo form.
Kama kuna mtu alisoma katika iko chuo au anayo ata kuifaham fomu ya kujiunga kwenye iko chuo naomba tafadhali.
Nitashukuru kama nitasaidiwa kwa wakati kwasabab wakati ndio mda unazidi kuisha.
Na mnafaham huu ndio mda wa kuripoti!!!!!!!!!
 
atatumiwa kwenye email yake na kuripoti ni kuanzia tarehe 21
 
Email yake ninayo mm kwenye cm yang mpaka leo siwaelew!
Alaf ukizingatia c unajua hal za kitanzania kila kitu n kujiandaa mapema mkuu
 
Kama kuna mtu unamfahamiana nae au ata anaifaham naomba unisaidie!
Wakuu msaada wenu
 
Back
Top Bottom