Naomba hii ndoto isiwe kweli

Naomba hii ndoto isiwe kweli

Habarini,

Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CHADEMA amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.

Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya machozi na risasi zilitumika kutawanya watu.

Dah, naomba hii ndoto isiwe kweli aisee!!!
Watu na ndoto zenu! Haya mwanandoto!
 
Habarini,

Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CHADEMA amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.

Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya machozi na risasi zilitumika kutawanya watu.

Dah, naomba hii ndoto isiwe kweli aisee!!!
kheee
 
uliyo ota sio ya kweli,,. naomba uote umepata pesa nyingi na hiyo iwe ya kweli
 
Habarini,

Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CHADEMA amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.

Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya machozi na risasi zilitumika kutawanya watu.

Dah, naomba hii ndoto isiwe kweli aisee!!!
Huwezi kuota kwa hiyari yako ndoto zote hutoka kwa MUNGU. Mtambo wa ndoto uko na Mungu. Ndoto yako ina ujumbe mzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini,

Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CHADEMA amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.

Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya machozi na risasi zilitumika kutawanya watu.

Dah, naomba hii ndoto isiwe kweli aisee!!!

Ikitokea basi tunakupa unabii
 
Back
Top Bottom