Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,494
- 18,260
Siku nyingine uwaote na LUMUMBAHabarini,
Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CDM amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.
Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya machozi na risasi zilitumika kutawanya watu.
Dah, naomba hii ndoto isiwe kweli aisee!!!