Naomba hifadhi Dodoma

Huyo hapo nadhani atakuwa msabato jina
Kama anaijua kanuni ya wasabato wala asingejianika humu
Wasabato tuna utaratibu wa kusaidiana kiroho na kimwili kwa mgeni kutoka kona yoyote ya dunia
Cha msingi, awe na barua ya utambulisho kutoka kanisa lake mahalia, awe na cheti chake cha ubatizo kinachoonesha uwajibikaji wake ktk kanisa lake mahalia, barua iwe na namba ya karani wa kanisa namba ya shemasi mkuu, na namba ya kiongozi wake wa kikundi (darasa) anachojufunzia lesoni! Aje na vielelezo vyote hivyo avifikishe kwenye kanisa lolote la ki Adventist, hapo atasaidiwa kula, kulala, na nauli ya kumrudisha kwao atapewa! MALANATHA!

Ungekuwa umetumia "R" badala ya "L" ungekuwa umekomelea kabisa.

MALANATHA => MARANATHA

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Iko hivi...kanisa kubwa liko kihonda..so area ya huku hakukua na kanisa .watu walikua wanasali kwa mtu tu tukachanga tukanunua kiwanja na kujenga kanisa.... tukajimega kule tukapata unafuuu kusali karibu .
2.march kulikua na semina dar ..ilikua inafanyikia hapo mbezi kwa msuguri ..mchungaj akateua muinjilist mmoja akawakilishe..sasa kasheshw likaanza katika kumchangia muinjilist kuanzia kula,malazi ..naandika haya nikuwa na akili timamu .hakukua na hela iliyotoka mfuko wowote ule .mhona mara kibao tu tunachangishwa hizo mambo?
Silitukani kanisa..naona unahemkwa mbarikiwa..naandika ninachojua ....usijifanye ww shemasi wa dunia
Hatufokeani dada yangu ktk kristo, naribu kukuelewesha, ni huyali yako kuelewa or not!
Kiuhalisia wewe bado unaonesha misingi ya ki Adventist haujaijua vyema.

Tafadhali endelea kujigunza.
 
Hatufokeani dada yangu ktk kristo, naribu kukuelewesha, ni huyali yako kuelewa or not!
Kiuhalisia wewe bado unaonesha misingi ya ki Adventist haujaijua vyema.

Tafadhali endelea kujigunza.
Kwahiyo huyu mchungaji anayesali hapa ni famba?point yako haswa iko wapi? Huamini tunachangishwa michqngo au? Kanisa gan halichangishi michango? Kwaya yenyeww ikienda huko kiegea tunachangishwa au mm ni kiziwi? Kwamba kila kongamano kanisa linakua na hela !! Unajua tuko wangap? Na unavyojua sababto wanaongoz kwa kongamano...au na efforts hairuhusiwi kuchangia?
Misingi hasa ya kuchangia sabato imekaaje?
Au na hata ujenzi utasema kuna mfuko wake? Nimezaliwa usabato tena ule haswa ...so naelewa misingi yake point iko hv ss hv mmeleta usasa sii kama zaman nilivyokua nasali...mgeni anakuja anasimama hakuna hata shemasi anayejigusa amsaidie kupata kiti
 
Huyo hapo nadhani atakuwa msabato jina
Kama anaijua kanuni ya wasabato wala asingejianika humu
Wasabato tuna utaratibu wa kusaidiana kiroho na kimwili kwa mgeni kutoka kona yoyote ya dunia
Cha msingi, awe na barua ya utambulisho kutoka kanisa lake mahalia, awe na cheti chake cha ubatizo kinachoonesha uwajibikaji wake ktk kanisa lake mahalia, barua iwe na namba ya karani wa kanisa namba ya shemasi mkuu, na namba ya kiongozi wake wa kikundi (darasa) anachojufunzia lesoni! Aje na vielelezo vyote hivyo avifikishe kwenye kanisa lolote la ki Adventist, hapo atasaidiwa kula, kulala, na nauli ya kumrudisha kwao atapewa! MALANATHA!
Yesu Anakuja!!
Unachukulia vitu simple sana kwa vile havijawahi kukutokea, mimi ku display dhehebu haimaanishi kuwa nisaidiwe na wasabatho tu no ila its my proud, ni sawa na wewe kujitambulisha mtanzania nje ya nchi
 
Ndio iko hivyo kuepuka matapeli na wezi kama hao wanaojiita wasabato kulitukanisha kanisa huku hata mlango wa kanisa hawaujui. Pia kwa muumini hai wa kanisa lolote hizo sio nyalaka ngumu. Maana kama cheti cha ubatizo unakuwa nacho mwenyewe tangu kubatizwa kwako. Hiyo barua unaenda kuchukua tu chap maana ww tayari kanisa linakutambua kupitia cheti chako cha ubatizo.
Kwa hiyo Mimi ni Tapeli!!
Hizo nyaraka unazipata kwenye kanisa lako Mama, yaani ulipobatizwa na je kama zinafuatiliwa na nimepiga simu nitumiwe!!
Acheni kuwa negative, dini yetu haiko hivyo
 
Back
Top Bottom