Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Hee...kumbe na ww msabato? Yes siku hizi nasali huko town...Duh nipo hapa kanisani,maisha haya...ndio ninaposali nikiwa Moro.
Hee...kumbe na ww msabato? Yes siku hizi nasali huko town...Duh nipo hapa kanisani,maisha haya...ndio ninaposali nikiwa Moro.
Ndio,wasukuma 70 % ni wasabato.na ndio nasali hapa town,siku zingine kule K/ ndege.Hee...kumbe na ww msabato? Yes siku hizi nasali huko town...
Umeanza kwa kujieleza vyema sanaHuyu kijana mwenzako akakutoa kwenye mstari na lengo lakoUkaonyesha utovu mkubwa wa nidhamu na jinsi rangi yako halisi ilivyo.
Kwa mtu makini mwenye alikua na nia ya kukusaidia kwa dhati hawezi kukusaidia kwa comment hii
Umeona sasa hata usivyojielewa, unasali vili sehemu ambapo ushirika wako haupo!? Na umepokelewa vipi bila barua ya uhamisho!? msidanganye watu. Kanisa la kisabato sio kikundi! Bali ni taasisi!Hee...kumbe na ww msabato? Yes siku hizi nasali huko town...
Bimkubwa hata asafiri mkoa mmoja lazima aende na hizo docs😀Ndio iko hivyo kuepuka matapeli na wezi kama hao wanaojiita wasabato kulitukanisha kanisa huku hata mlango wa kanisa hawaujui. Pia kwa muumini hai wa kanisa lolote hizo sio nyalaka ngumu. Maana kama cheti cha ubatizo unakuwa nacho mwenyewe tangu kubatizwa kwako. Hiyo barua unaenda kuchukua tu chap maana ww tayari kanisa linakutambua kupitia cheti chako cha ubatizo.
Iko hivi..nimezaliwa sabato nikaolewa rc ...nikashindwa kusali rc kutokana na mambo yao kuwa tifauti kbs na sabato so kiuhalisia nilitengwa na kanisa kwasababu nimeolewa rc . Nimeamua mwenyewe kurudi sabato hvyo niko darasa la maandalio....kwahiyo mie hata usajili sijaliwa ..upo? Kwahyo nimehamia town kule ntabatizwa nanushirika wang utasoma kanisa la mjiniUmeona sasa hata usivyojielewa, unasali vili sehemu ambapo ushirika wako haupo!? Na umepokelewa vipi bila barua ya uhamisho!? msidanganye watu. Kanisa la kisabato sio kikundi! Bali ni taasisi!
😀😀....sawa boss ..kwan ww sukuma pia?Ndio,wasukuma 70 % ni wasabato.na ndio nasali hapa town,siku zingine kule K/ ndege.
Ukweli ni kwamba, hakuna msabato ambae ana ushirika hai kanisani anaepata shida popote aendako duniani kote! Ili mradi uwe umesafiri kimkakati. Barua yako ikuelezee wewe ni nani, na huko unakoenda unaenda kufanya nini, kwa muda gani! Hata uende marekani watakusaidia utakula, utakunywa, utalala, kwa kipindi chote kilichoanishwa kwenye barua. Na ukiondoka utaagwa na zawadi utapewa na salamu nyingi utaagizwa. Kiukweli tumebarikia sana!Bimkubwa hata asafiri mkoa mmoja lazima aende na hizo docs
Atapata msaadaMwache tu apate shida au sio
Yes,Toleo la Nyakabindi.....sawa boss ..kwan ww sukuma pia?
Hapo nimeelewa. Maana yake wewe bado haujawa msabato hai. Hivyo usilaumu.Iko hivi..nimezaliwa sabato nikaolewa rc ...nikashindwa kusali rc kutokana na mambo yao kuwa tifauti kbs na sabato so kiuhalisia nilitengwa na kanisa kwasababu nimeolewa rc . Nimeamua mwenyewe kurudi sabato hvyo niko darasa la maandalio....kwahiyo mie hata usajili sijaliwa ..upo? Kwahyo nimehamia town kule ntabatizwa nanushirika wang utasoma kanisa la mjini
System yenu safi sana......Huyo hapo nadhani atakuwa msabato jina
Kama anaijua kanuni ya wasabato wala asingejianika humu
Wasabato tuna utaratibu wa kusaidiana kiroho na kimwili kwa mgeni kutoka kona yoyote ya dunia
Cha msingi, awe na barua ya utambulisho kutoka kanisa lake mahalia, awe na cheti chake cha ubatizo kinachoonesha uwajibikaji wake ktk kanisa lake mahalia, barua iwe na namba ya karani wa kanisa namba ya shemasi mkuu, na namba ya kiongozi wake wa kikundi (darasa) anachojufunzia lesoni! Aje na vielelezo vyote hivyo avifikishe kwenye kanisa lolote la ki Adventist, hapo atasaidiwa kula, kulala, na nauli ya kumrudisha kwao atapewa! MALANATHA!
Kkkkkkkk utabatizwa mara ya pili baada ya kuasi! Wewe ni MUASI kama wale vijana 854 wa JKT.Iko hivi..nimezaliwa sabato nikaolewa rc ...nikashindwa kusali rc kutokana na mambo yao kuwa tifauti kbs na sabato so kiuhalisia nilitengwa na kanisa kwasababu nimeolewa rc . Nimeamua mwenyewe kurudi sabato hvyo niko darasa la maandalio....kwahiyo mie hata usajili sijaliwa ..upo? Kwahyo nimehamia town kule ntabatizwa nanushirika wang utasoma kanisa la mjini
Iko hivi...kanisa kubwa liko kihonda..so area ya huku hakukua na kanisa .watu walikua wanasali kwa mtu tu tukachanga tukanunua kiwanja na kujenga kanisa.... tukajimega kule tukapata unafuuu kusali karibu .Ushahidi unaoutoa kumbuka Mungu anakuona! Umesema unapoishi mmeanzisha kanisa! Kanisa la kisabato halianzishi na mtu binafsi, na mchungaji wa kisabato hajipangii safari ya kikanisa. Makongamano yote ya ki Adventist yanakuwa undercontrol misheni!
Kanisa lolote la kisabato linaanzishwa na kanisa kuu mahalia la mtaa! Na linaitwa tawi, na halipewi mchungaji lingali tawi bali linahudumiwa na mchungaji wa mtaa. Ambapo unaweza ukakuta mchungaji mmoja anahudumia makanisa (matawi) 4+ sasa wewe sijui unaongea nini hapa... USILITUKANISHE KANISA LA MUNGU! HASIRA YAKE HAUTAIEPUKA!
Documents nyingi utadhani unaomba Passport pale uhamiaji.System yenu safi sana......
Sema vidhibiti vingi
Yes inaruhusiwaKkkkkkkk utabatizwa mara ya pili baada ya kuasi! Wewe ni MUASI kama wale vijana 854 wa JKT.
Mie siwez aiseDocuments nyingi utadhani unaomba Passport pale uhamiaji.
Shemasi wa dunia noma sana anakamata wasabato feki mtandaoniIko hivi...kanisa kubwa liko kihonda..so area ya huku hakukua na kanisa .watu walikua wanasali kwa mtu tu tukachanga tukanunua kiwanja na kujenga kanisa.... tukajimega kule tukapata unafuuu kusali karibu .
2.march kulikua na semina dar ..ilikua inafanyikia hapo mbezi kwa msuguri ..mchungaj akateua muinjilist mmoja akawakilishe..sasa kasheshw likaanza katika kumchangia muinjilist kuanzia kula,malazi ..naandika haya nikuwa na akili timamu .hakukua na hela iliyotoka mfuko wowote ule .mhona mara kibao tu tunachangishwa hizo mambo?
Silitukani kanisa..naona unahemkwa mbarikiwa..naandika ninachojua ....usijifanye ww shemasi wa dunia
Asihukumu..ahukumuye ni Mungu tuShemasi wa dunia noma sana anakamata wasabato feki mtandaoni