Naomba feedback kwa mliotumia haya mafuta ya parachute

Mimi kichwa changu kibovu sana, yaani niliposoma mafuta ya parachute nikagoma kufungua uzi huu nikidhani kuwa mwaongelea vilainishi, sasa bahati mbaya wakati na bofya uzi mwingine nikajikuta niko huku, kumbe mwaongelea mafuta ya nazi. Basi sawa.
Mkuu we sema ukweli tu ulikuwa unapiga chabo,ila hata hivyo bado hawajakuona...
 
kwenye mikoa ya baridi yanaganda. Naona kama sio nazi original haya yametengenezwa na nazi ya bakhressa
 
nilitumia niliwashwa balaa natengeneza mwenyewe siku hizi bora hata mnara au yale ya dina marious
Una matatizo yako tu sio mafuta



Mamy wewe umetumia yapi Kati ya haya
00a2c250ccc6950492c204f3e6a0b730.jpg


Ya kulia ndio natumia
 
Kweli ni mazuri sana ngozi inang'aa
Ila nadhani Kwakuwa ni ya maji na ni mepesi, sehemu zenye baridi /upepo hayatoshi pekee labda na glycerin
Lakini yanaleta joto hivi ukiyapaka, Sio mbaya kuchanganya na glycerin. Inaleta mchanganyiko mzuri pia kwa ngozi.
 
Back
Top Bottom