Naomba feedback kwa mliotumia haya mafuta ya parachute

Kwenye baridi hukuacha umepauka baada ya muda mfupi labda huwenda ni kwa sababu ya hali yake ya maji maji. Lakini kwa nywele kwangu sijaona kama kuna badiliko, mwilini yananiachia tu harufu nzuri ambayo wengi hupenda kuiskia..
 
Kweli mafuta ya parachuti ni mzuri sana yana uwezo mkubwa wa kulainisha ngozi,mi ndo natumia nachanganya na mafuta ya sunflower ngozi inakuwa soft sana.
 
Back
Top Bottom