kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Si kweli kila software unatumia commands mkuu, ubuntu wana software kutoka kwenye ubuntu software center ambazo huhitaji kutumia commands zaidi ya kuhitaji password yako tu, vile vile unaweza kufanya installation ya microsoft windows software kupitia program inayoitwa wine au ukipenda unaweza kutumia playonlinux kufanya installation ya hizo windows software, mi natumia duol operating system yaani windows 8 na ubuntu 12.10 na maisha yanasongani ngumu tofauti na windows pia inatumia commands kufanya installation za software zingine tofauti na window kaziyako kuclick setup na next and finish, kifupi iko complicated zan windows.
kwa kweli mimi ni mtumiaji wa window 7 na pindi nitakapo kubadili kwenda kwenye ubuntu rafiki zangu hunambia kuwa ni ngumu kutumia na pia kila softwire lazima iwe ya ubuntu maana haingiliani na driver nyingine,tafadhali mwenye uelewa na ujuzi juu ya ubuntu naomba anishauri vizuri
Aaah wapi!
Nimeona watu wanatumia Word kwenye Ubuntu vizuri tu, hata Internet explorer... Lakini kwa ujumla hizi Linux based OS (Mac, Ubuntu, Chromium etc) ziko poa kuliko Win, ziko fasta, virus free na advantage kibao. Hao wanaosema ni ngumu sijui ni blah blah...
Ubuntu 12.10 LTS ndo mpango mzima baby!
Mphamvu, 12.10 is not LTS, the last LTS is 12.04 Precise Pangolin.Aaah wapi!
Nimeona watu wanatumia Word kwenye Ubuntu vizuri tu, hata Internet explorer... Lakini kwa ujumla hizi Linux based OS (Mac, Ubuntu, Chromium etc) ziko poa kuliko Win, ziko fasta, virus free na advantage kibao. Hao wanaosema ni ngumu sijui ni blah blah...
Ubuntu 12.10 LTS ndo mpango mzima baby!
Mpaka sasa hakuna kirusi kinachofahamika kuidhuru Unix-based system i.e. Mac, BSD, Linux!mkuu, hapo kwenye virus free sio kweli kabisaaaa. hakuna OS ambayo ni free from virus
Ubuntu wana mtindo wa kutoa matoleo ya iona mbili: lenye msaada wa muda mfupi na mrefu 12.04 ni muda mrefu na 12.10 Muda mfupi. Nadhani linafuata toleo la LTSI got you bro, nilidhani LTS ni kwa kiva toleo la Ubuntu, kumbe ni baadhi tu.
Ubuntu wana mtindo wa kutoa matoleo ya iona mbili: lenye msaada wa muda mfupi na mrefu 12.04 ni muda mrefu na 12.10 Muda mfupi. Nadhani linafuata toleo la LTS
Cheers!
Wengi wanaosema hivyo ni za kuambiwa hawachanganyi na za kwaoKama kawa.
Ila kuna watu wananitatiza wanapodai kuwa Ubuntu ni ngumu kutumia, wakati mimi niko nayo komfotabo kabisa ingawa nimeanza kuitumia majuzi tu, iko fasta na haistuck kama WinOS, hata ukiwa unawasha/kuzima mashine haichelewi.