Naomba elimu kuhusu Ubuntu OS

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
400
Kwa kweli mimi ni mtumiaji wa window 7 na pindi nitakapo kubadili kwenda kwenye ubuntu rafiki zangu hunambia kuwa ni ngumu kutumia na pia kila softwire lazima iwe ya ubuntu maana haingiliani na driver nyingine.

Tafadhali mwenye uelewa na ujuzi juu ya ubuntu naomba anishauri vizuri.
 
ni ngumu tofauti na windows pia inatumia commands kufanya installation za software zingine tofauti na window kaziyako kuclick setup na next and finish, kifupi iko complicated zan windows.
 
ni ngumu tofauti na windows pia inatumia commands kufanya installation za software zingine tofauti na window kaziyako kuclick setup na next and finish, kifupi iko complicated zan windows.
Si kweli kila software unatumia commands mkuu, ubuntu wana software kutoka kwenye ubuntu software center ambazo huhitaji kutumia commands zaidi ya kuhitaji password yako tu, vile vile unaweza kufanya installation ya microsoft windows software kupitia program inayoitwa wine au ukipenda unaweza kutumia playonlinux kufanya installation ya hizo windows software, mi natumia duol operating system yaani windows 8 na ubuntu 12.10 na maisha yanasonga
 
kwa kweli mimi ni mtumiaji wa window 7 na pindi nitakapo kubadili kwenda kwenye ubuntu rafiki zangu hunambia kuwa ni ngumu kutumia na pia kila softwire lazima iwe ya ubuntu maana haingiliani na driver nyingine,tafadhali mwenye uelewa na ujuzi juu ya ubuntu naomba anishauri vizuri

Aaah wapi!

Nimeona watu wanatumia Word kwenye Ubuntu vizuri tu, hata Internet explorer... Lakini kwa ujumla hizi Linux based OS (Mac, Ubuntu, Chromium etc) ziko poa kuliko Win, ziko fasta, virus free na advantage kibao.

Hao wanaosema ni ngumu sijui ni blah blah...

Ubuntu 12.10 LTS ndo mpango mzima baby!
 
Ubuntu ni tamu sana asikudanganye mtu jaribu mwenyewe uone. Ubuntu huwa inanidatisha kwenye font yake hii font ni nouma sijawahi kuona. program nyingi saiiv zinatengenezwa kuwa cross-platform wala usijali kabisa.

Pia unaweza tumia software inaitwa Wine yaani ni balaa unarun program zako za windows kama upo kwenye real windows envirnment. installation ya software za ubuntu ni rahisi kuliko za windows!!!

Ubuntu software center mpya inakuruhusu kuinstall program kwa ku-click mara moja tu sio mpaka next next next. Hapa mimi napata raha na Ubuntu yangu 12.10 pia na Windows 7.....
 
Aaah wapi!

Nimeona watu wanatumia Word kwenye Ubuntu vizuri tu, hata Internet explorer... Lakini kwa ujumla hizi Linux based OS (Mac, Ubuntu, Chromium etc) ziko poa kuliko Win, ziko fasta, virus free na advantage kibao. Hao wanaosema ni ngumu sijui ni blah blah...

Ubuntu 12.10 LTS ndo mpango mzima baby!

mkuu, hapo kwenye virus free sio kweli kabisaaaa. hakuna OS ambayo ni free from virus
 
Aaah wapi!

Nimeona watu wanatumia Word kwenye Ubuntu vizuri tu, hata Internet explorer... Lakini kwa ujumla hizi Linux based OS (Mac, Ubuntu, Chromium etc) ziko poa kuliko Win, ziko fasta, virus free na advantage kibao. Hao wanaosema ni ngumu sijui ni blah blah...

Ubuntu 12.10 LTS ndo mpango mzima baby!
Mphamvu, 12.10 is not LTS, the last LTS is 12.04 Precise Pangolin.
Just little correction!
 
Mphamvu, 12.10 is not LTS, the last LTS is 12.04 Precise Pangolin.
Just little correction!

I got you bro, nilidhani LTS ni kwa kiva toleo la Ubuntu, kumbe ni baadhi tu.
 
Last edited by a moderator:
I got you bro, nilidhani LTS ni kwa kiva toleo la Ubuntu, kumbe ni baadhi tu.
Ubuntu wana mtindo wa kutoa matoleo ya iona mbili: lenye msaada wa muda mfupi na mrefu 12.04 ni muda mrefu na 12.10 Muda mfupi. Nadhani linafuata toleo la LTS
Cheers!
 
Ubuntu wana mtindo wa kutoa matoleo ya iona mbili: lenye msaada wa muda mfupi na mrefu 12.04 ni muda mrefu na 12.10 Muda mfupi. Nadhani linafuata toleo la LTS
Cheers!

Kama kawa.
Ila kuna watu wananitatiza wanapodai kuwa Ubuntu ni ngumu kutumia, wakati mimi niko nayo komfotabo kabisa ingawa nimeanza kuitumia majuzi tu, iko fasta na haistuck kama WinOS, hata ukiwa unawasha/kuzima mashine haichelewi.
 
Wengi wanaosema hivyo ni za kuambiwa hawachanganyi na za kwao :)
 
yooote mlioongea nimewaelewa sana sasa tafaaadhali naomba mwenye hiyo programme anisaidie maana wengine hatujui kuweka window jamani
 
Yap ziko nyingi sio playonlinux pia kuna wine n.k. Ila c friend user km windows kaka.ni rahisi kidogo kwa mtu ambaye ananokNwoledge na mambo ya IT OTHERWISE NI MZIGO.
 
ki2 kinaitwa free and open source! ingia kwenye u ulimwengu uone nin umekuwa ukikosa ndgu!
 
kiukweli nimempa mtu anisaidie kuiweka ubuntu kwenye pc yangu akanambia anasikia kuwa ukitaka kuweka programme kwenye ubuntu zinakataa au nyingine mpama uwe online ndo ziweze kuwekwa huko,waungwana naomba mnishauri au kunielewesha njia mbadala ya kuweka hizo programme
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom