kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Kwa kweli mimi ni mtumiaji wa window 7 na pindi nitakapo kubadili kwenda kwenye ubuntu rafiki zangu hunambia kuwa ni ngumu kutumia na pia kila softwire lazima iwe ya ubuntu maana haingiliani na driver nyingine.
Tafadhali mwenye uelewa na ujuzi juu ya ubuntu naomba anishauri vizuri.
Tafadhali mwenye uelewa na ujuzi juu ya ubuntu naomba anishauri vizuri.