Naomba cv za wafuatao..

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Wafuatao nina mashaka na elimu zao,hivyo naomba mwenye cv aweke hapa jamvini nithibitishe kwa kuangalia cv zao.
1.Lukuvi
2.Pinda
3.Komba
4.Ngonyani(maji marefu)
5.Said Bundala(maarufu kama -----) jimbo la kilwa kusini
6Airo
7.Wassira
8.Mulugo na wengine wengi.
 
Ili iweje? au ziku saidie nini? au unataka kujifunza kuandika CV? Lete mada yenye msaada na mawazo mazuri yatakayo isaidia nchi yetu
 
Mleta mada usiwe kama huna akili!

Hao wote ulio wataja ni wabunge, kama ni hivyo, kwanini usitembelee mtandao wa bunge na upate CV zao huko?

Wote hao wana CV zilizo shiba kwa elimu na uzoefu wa kazi halali, sio kama Mbowe, Lema, Dr Slaa, Msigwa, Sugu na vilaza wengine ambao elimu zao ni zakuokoteza.
 
Wafuatao nina mashaka na elimu zao,hivyo naomba mwenye cv aweke hapa jamvini nithibitishe kwa kuangalia cv zao.
1.Lukuvi
2.Pinda
3.Komba
4.Ngonyani(maji marefu)
5.Said Bundala(maarufu kama -----) jimbo la kilwa kusini
6.Airo
7.Wassira
8.Mulugo na wengine wengi.
9. Mbowe
10. Joseph Mbilinyi
11. Chiku Abwao
 
Wasira anaelimu kubwa kumshinda hata mzee wako mkuu

Kwani CV inaonyesha Elimu peke yake? mbona umekimbilia kujibu kuhusu elimu ya Wasira? Uwe una kula ndizi,kula nyama au hata kunywa maziwa ili thinking capacity yako iongezeke basi,kwasababu unatia aibu
 
Mleta mada usiwe kama huna akili!

Hao wote ulio wataja ni wabunge, kama ni hivyo, kwanini usitembelee mtandao wa bunge na upate CV zao huko?

Wote hao wana CV zilizo shiba kwa elimu na uzoefu wa kazi halali, sio kama Mbowe, Lema, Dr Slaa, Msigwa, Sugu na vilaza wengine ambao elimu zao ni zakuokoteza.
Aliye ileta ya Lema hakujua kama ipo kwenye website ya bunge?
 
Tangu upate Kamchina kenye Internet imekuwa shida tupu, umejua kujiunga JF imetoka hyo hakabadili mwelekeo, na ukisubutu kanazima,
Wewe kama unajua kucheza na keyboard ingia kwenye tovuti ya bunge utazikuta huko, sio kutujazia thread hapa.
 
Mleta mada usiwe kama huna akili!

Hao wote ulio wataja ni wabunge, kama ni hivyo, kwanini usitembelee mtandao wa bunge na upate CV zao huko?

Wote hao wana CV zilizo shiba kwa elimu na uzoefu wa kazi halali, sio kama Mbowe, Lema, Dr Slaa, Msigwa, Sugu na vilaza wengine ambao elimu zao ni zakuokoteza.

Waache wenye elimu ya kuokoteza na vilaza wale mishahara minono na marupurupu ya kutosha,afu wewe mwenye akili na elimu ya kutosha endelea kusubiria buku 7 za Lumumba
 
Tangu upate Kamchina kenye Internet imekuwa shida tupu, umejua kujiunga JF imetoka hyo hakabadili mwelekeo, na ukisubutu kanazima,
Wewe kama unajua kucheza na keyboard ingia kwenye tovuti ya bunge utazikuta huko, sio kutujazia thread hapa.

Well said & message sent
 
hao wote uliowataja wamebakisha miaka 2 tu kabla hatujawafurumusha , vumilia tu mkuu bado kitambo kidogo sana .
 
Mleta mada usiwe kama huna akili!

Hao wote ulio wataja ni wabunge, kama ni hivyo, kwanini usitembelee mtandao wa bunge na upate CV zao huko?

Wote hao wana CV zilizo shiba kwa elimu na uzoefu wa kazi halali, sio kama Mbowe, Lema, Dr Slaa, Msigwa, Sugu na vilaza wengine ambao elimu zao ni zakuokoteza.
Yah dr slaa unaiwekaga hapa huji kama ipo kwenye website ya bunge?-Babu ufanye ulale usiku huu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tunafuatilia mkuu wote tutaweka cv zao hapa ,msiwe na wasi wasi.kwani wameanza wenyewe,wakati vihio wote wamejaa Kidumu cha mapinduzi.watakoma sasa hivi.wadau wengine wenye kujua cv hapo juu tumwage wino haraka sana.
 
Wafuatao nina mashaka na elimu zao,hivyo naomba mwenye cv aweke hapa jamvini nithibitishe kwa kuangalia cv zao.
1.Lukuvi
2.Pinda
3.Komba
4.Ngonyani(maji marefu)
5.Said Bundala(maarufu kama -----) jimbo la kilwa kusini
6Airo
7.Wassira
8.Mulugo na wengine wengi.

Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1260.jpg
First Name: Freeman
Middle Name:Aikaeli
Last Name:Mbowe
Member Type:Constituency Member
Constituent:Hai
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Secondary SchoolSecondary Education--HIGH SCHOOL
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
Bank of TanzaniaBank Officer

Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1644.jpg
First Name: Osmund
Middle Name:Joseph
Last Name:Mbilinyi
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mbeya Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:Box 815, Mbeya
Office Phone: +255 716 627344
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: jmbilinyi@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 May 1972
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbeya Secondary SchoolO-Level Education19881990SECONDARY
Sabasaba Secondary SchoolO-Level Education19901991SECONDARY
Ligula Primary SchoolPrimary Education19811984PRIMARY
Sokoine Primary SchoolPrimary Education19841986PRIMARY
Sisimba Primary SchoolPrimary Education19861987PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
The Parliament of TanzaniaMember - Mbeya Urban Constituency20102015
BP Tanzania LimitedSecurity Officer19982010
Self EmployedCelebrity19941998
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
CHADEMAMember2010

Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1626.jpg
First Name: Rev. Peter
Middle Name:Simon
Last Name:Msigwa
Member Type:Constituency Member
Constituent:Iringa Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:Box 316, Iringa
Office Phone: +255 754 360996
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: pmsigwa@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 8 June 1965
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
All Africa Bible College, South AfricaB.Ministry19992004GRADUATE
Sangu Secondary SchoolO-Level Education19831986SECONDARY
Magoye Primary SchoolPrimary Education19761982PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
The Parliament of TanzaniaMember - Iringa Urban Constituency20102015
Vineyard ChurchNational Coordinator20052010
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
CHADEMAChairperson2006
Tanzania Labour Party, TLPMP Candidate2005

Huyu kamaliza tu Kidato cha nne tena daraja la nne, akaenda kuchukua shahada ya biblia, kaz kweli kweli

[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1748.jpg
First Name: Godbless
Middle Name: Jonathan
Last Name:Lema
Member Type:Constituency Member
Constituent: Arusha Mjini
Political Party: CHADEMA
Office Location:
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: glema@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 26 October 1976
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Cambridge International CollegeDiploma20082010DIPLOMA
Geita Secondary SchoolO-Level Education19891991SECONDARY
Kolila Secondary SchoolA-Level Education19911993SECONDARY
Kalangala Primary SchoolPrimary Education19831989PRIMARY
Cambridge International CollegeDegree2010TodateNOT COMPLETED

PUBLICATIONS
Mcheki huyu sasa eti kamaliza darasa la saba mwaka 1989 na kidato cha kwanza kaanza mwaka huohuo(1989), mfumo wa nchi gani hiyo? Mbaya kabisa cheki hii, O-LEVEL(1989 hadi 1991) kidato cha nne miaka mitatu?

Jamani tunaibiwa, ufisadi huu wa elimu. Nitaendelea kuwaletea Cv za wengine kama mlivyoomba.
Halafu angalia hiyo remarks ya kwenye shahada "NOT COMPLITED" why not complited?

Eti watu ulowataja hapo wana elimu kubwa kuliko!.....puuumbavu nahitaji cv ya maji marefu na livingstone lusinde kama hatujashika vichwa hapa.....hivi bado kuna watu wanakipigania chama cha mapinduzi duuuh!.
 
Back
Top Bottom