Naomba ‘Connection’, natafuta kazi CCECC au CRJE

Waambieni vijana hawa huku mtaani hakuna cha mwandisi, mwalimu, daktari ..wote bila bila hivyo wapunguze nyodo mana wanajikuta wanasoma masomo magumu eti wanadanganyana yana ajira

Wakati kuna waandisi wazoefu hapa jf wanatafuta ajira. ..

Maisha yamebadilika sana..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwa kweli wadogo zetu tuwaeleze ukweli ili wasiweke matarijio makubwa sana yanayoweza kupelekea wakajutiana na kujilaumu sana katika na Machaguo yao ya siku zilizopita endapo Maisha baada ya Chuo yataenda kinyume na matarajio yao
 
Waambieni vijana hawa huku mtaani hakuna cha mwandisi, mwalimu, daktari ..wote bila bila hivyo wapunguze nyodo mana wanajikuta wanasoma masomo magumu eti wanadanganyana yana ajira

Wakati kuna waandisi wazoefu hapa jf wanatafuta ajira. ..

Maisha yamebadilika sana..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa mambo yamebadilika sana.
 
ujayajua maisha ndio maana unaogea polojo wewe, ungekuwa karibu yangu ningekulamba kibao ms**ge wewe
msamehe tu Mkuu, binadamu tupo wa aina tofauti tofauti, hafahamu teknolojia inaunganisha watu katika namna mbalimbali, hajawahi kusoma shuhuda za watu kusaidiwa kupata ajira, biashara hata mahusiano kupitia mtandao huu
 
Hahahah wabongo maisha yametuchanganya kweli. Nilimaanisha kuwa, mhandisi mwenye uzoefu hatafuti kazi bali kazi zinamtafuta. Huyo atakuwa graduate, na ukienda ccecc au crje kama Cv iko vizuri hawakuachi labda udai mshahara mkubwa
 
hapo sawa, yaani nilisha anza kukasirika sana maana hapa kwenyewe mimi sina kazi afu nikaona kama una msanifu ivi.
 
msamehe tu Mkuu, binadamu tupo wa aina tofauti tofauti, hafahamu teknolojia inaunganisha watu katika namna mbalimbali, hajawahi kusoma shuhuda za watu kusaidiwa kupata ajira, biashara hata mahusiano kupitia mtandao huu

Seriously engineer una uzoefu na umekutana na engineers kibao huko site na ofisini unakuja kuomba connection huku?
 
Hahahah wabongo maisha yametuchanganya kweli. Nilimaanisha kuwa, mhandisi mwenye uzoefu hatafuti kazi bali kazi zinamtafuta. Huyo atakuwa graduate, na ukienda ccecc au crje kama Cv iko vizuri hawakuachi labda udai mshahara mkubwa
Sawa Mkuu ngoja nipeleke maombi CCECC
Seriously engineer una uzoefu na umekutana na engineers kibao huko site na ofisini unakuja kuomba connection huku?
Naomba unisaidie Mkuu
 
CCECC wana watu wao, ile kampuni iko nchini kwa miaka mingi mpaka Wachina waliokuja nao mwanzoni wanajua Kiswahili cha mtaani. Wana tabia ya kuwa na list ya mainjinia waliowahi kupita pale kwahiyo wakipata tenda wanabeba walewale, ila Wachina hawana noma sana kama wabongo wanaowasaidia.

Kuna jamaa alikuwa dereva wa boss wao mkuu mwenye V8 jipya kwa sasa ninamuona staff mwaka huu chuoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom