Mkuu naona nakutumia sms dm naona nashindwa. Nichek kwa kujua mengine zaidi kaka.Habarini ndugu.
Nimekuwa nikiagiza vitu mara kadhaa kutoka China hasa kwa kutumia Alibaba, 1688 na Taobao.
Ila kwa sasa nahitaji kupata connection pia ya namna ya kupata suppliers wa kutoka Dubai, kwa hivyo ndugu zangu, naomba yeyote mwenye connection anipe ABC za namna ya kutimiza jambo hili.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Mkuu Silentocean wanatumia muda gani mzigo kufika Tanzania?Kuagiza kutoka Alibaba, kwanza unafungua account Alibaba, kisha unatafuta bidhaa unazohitaji, baada ya hapo unachat na supplier husika, ambapo utamwelekeza akufikishie bidhaa yako kwa kampuni zinazo safirisha kuleta Tanzania, ambapo mimi huwa nawapa address ya Silent Ocean iliyoko China (ukiingia Insta kwenye page ya silent ocean huwa wanaweka address yao ya China utaipata huko), kisha utamwambia akutengenezee order, then utabonyeza sehemu ya order utafanya malipo kwa VISA CARD AU MASTER CARD. (Pia zingatia kumwambia supplier wako aandike jina lako na namba yako ya simu kwenye mzigo).
Baada ya kufanya malipo, utamwambie akupe tracking number ambayo kupitia hiyo utaona kama mzigo wako umewafikia Silent Ocean kwenye ofisi zao za China.
Then, kama umefika, download app ya silent Ocean play store halafu utaweza kuingiza namba yako ya simu ya kujua siku ambayo mzigo utafika Tanzania, pamoja na gharama za usafiri kutoka China to TZ ambazo utalipia mzigo utakapofika.
ZINGATIA
Unapochagua supplier angalia mambo yafuatayo
1. Amekuwa verified? Kama hapana je, ni Gold supplier?
2. Je account yake ina miaka mingapi?
3. Je, walio nunua kwake wame_comment nini kuhusu bidhaa zake na uaminifu wake?
4. Je, amepata rank gani kwenye rate? 1 ni mbaya zaidi na 5 ni nzuri zaidi
Muhimu: Hakikisha malipo yote yanafanyika kwa kutumia Alibaba, kataa kabisa akitaka umlipe kwa njia nyingine nje ya Alibaba utalizwa.
Hivyo vigezo hapo juu ni kwa mujibu wa uzoefu wangu wa kutumia Alibaba kuagiza mizigo.
Sorry, najijua sina uwezo mzuri wa kuwasilisha ujumbe kwa maandishi, ikiwa una swali nitakujibu
NB: japo si kwa umuhimu, nimetoa mfano wa kusafirisha kwa kutumia kampuni ya Silent Ocean kwa kuwa ndio ambao nimekuwa nawatuma mara kwa mara, sina uzoefu na wasafirishaji wengine.
lakini bado nasubiri connection ya Dubai
Tatizo kubwa la dubai ni usafiri. Unless uwe tayari kusafisha kwa ndege, kuagiza kontena zima au kutafuta ushirikiano na waagizaji wengine wadogo.
Nipe connection mkuu nataka nianze kuagiza vitu DubaiMimi naweza mpatia connection za ma agent, ila wanaoshushia Zanzibar. itambidi awe anaufata Zanzibar mzigo wake
Nipe connection mkuu nataka nianze kuagiza vitu Dubai
Nishawahi ila sio kibiashara ilikuwa project tu kwenye kampuni moja hivi maeneo ya ras al khaimatayari una contact za maduka ya bidhaa unazozitaka? au umeshwahi kwenda Dubai?
Nishawahi ila sio kibiashara ilikuwa project tu kwenye kampuni moja hivi maeneo ya ras al khaima
Nishawahi ila sio kibiashara ilikuwa project tu kwenye kampuni moja hivi maeneo ya ras al khaima
Mkuu hela yangu nahisi haitoshi kwenda huko 8M inatosha kama mtaji kwa kuanzia maana sina uzoefuKwanini usingelienda mwenyewe ukatengeneza connection nzuri halafu ndio ukatulia ukawa unaagiza,? kwa tumia ma agent moja kwa moja kununua mizigo kwa maduka ambayo hujwahi kuenda unaweza kupigwa cha juu bila ya kuelewa mkuu, unless uwe una deal direct na kiwanda hapo haina shaka yoyote.
Phones and mobile accessoriesUlikua ana plan kuagiza bidhaa za aina gani kwani?
Phones and mobile accessories
Mkuu hela yangu nahisi haitoshi kwenda huko 8M inatosha kama mtaji kwa kuanzia maana sina uzoefu
Mimi niko Dubai mkuu,naweza kukusimamia ukihitajiKwa biashara ya phones nahisi haitoshi mkuu, ingelikua accessories tupu ingelitosha.
Mimi niko Dubai mkuu,naweza kukusimamia ukihitaji
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa nakaa DEIRA baadae nikahama na kuhamia maeneo ya DIP(Dubai Investments Park)Mkuu unaishi mtaa gani huko?
Nilikuwa nakaa DEIRA baadae nikahama na kuhamia maeneo ya DIP(Dubai Investments Park)
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Asante mkuuHongera mkuu, hiyo nchi naikubali sana, japo kua kuna changamoto za hapa na pale lakini pako sawa kwa kweli