Naomba app za bure za kuchat na gpt

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
245
Ndugu nazidi kuja kwenu kuomna msaada wa kujua app za bure za kuchat na gpt maana nimeona kule unaweza kuwa na shida ikasaidia kukupa maelekezo. Nilipata moja ya bing nimechat nae kanikatoa mawasiliano gafla afu hataki kuchati tena na mimi
 
Tumia pycha chat nayo whtsapp
 
Ndugu nazidi kuja kwenu kuomna msaada wa kujua app za bure za kuchat na gpt maana nimeona kule unaweza kuwa na shida ikasaidia kukupa maelekezo. Nilipata moja ya bing nimechat nae kanikatoa mawasiliano gafla afu hataki kuchati tena na mimi
Kuna credit unapewa kila siku, zikiisha inabidi usubirie Mpaka kesho yake upewe nyengine. Pia ukilogin na account ya Microsoft nafkiri wana double hizo credit.
 
Back
Top Bottom