UkoowaMagorombe
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 191
- 45
Nahitaji kurecovery data zangu kutoka kwenye sd card, nimejaribu kudownload data recovery software kama mbili tofauti zote zinafanya kazi vizuri na kuleta file zote ila ninapotaka kurecovery data hizi software zinaomba key code ambayo ni lazima kuinunua.
Ninachohitaji hapa ni sofware ninayoweza kuipata free pamoja na key zake ama ambayo haina key kabisa.
Naombeni link...
Ninachohitaji hapa ni sofware ninayoweza kuipata free pamoja na key zake ama ambayo haina key kabisa.
Naombeni link...