Naomba ajitojekeze mdada mmoja hapa aje pm tupige stori.

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Kichwa cha habari chajieleza, em japo mmoja aje tupige japo story tu maana pm yangu imekuwa na mavumbi hatari... Nikipata yule ambae anajua kutengeneza mazingira ya kunidanganya nikampa vijisenti ukitoka mshahara itapendeza zaidi.

Sana sana nahitaji wale wa Dar maana ndo wajanja zaidi ambao watanifanya nisiwe bahili maana nimejikuta nimekuwa bahili hatari...
Na wale wa Dodoma kwa mbaali wanaweza kushiriki hapa maana nao wameanza kuchangamka baada ya mabalozi kutaka kuhamia huko.

Karibuni jamani hali yangu ni mbaya najijua mwenyewe.
 
Hahha we mjamaa wewe na hii mitego yako ya panya ni sheedah
Mkuu sio mitego ya panya naongea serious,.. Tatizo lenu mmewafanya wadada wa humu wawe na uoga kwa tabia za kupewa aidha namba au picha mkajisifu kwa wanaume wengine... Sio poa hata mimi nikisema nahitaji partner basi na mimi sitaaminiwa.. Ila bado narudia tuache tabia za ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom