naogopa...

naogopa...

niambie tu usjal ...nimefatilia post zako nimegundua ni wewe..kumbe na wewe upo humu?
 
Yuko huku jf?? Kama hayumo humu unataka tukusaidieje? Hii si shule ya kufundishia cha kumwambia, ukikua kidogo utajua cha kusema na wakati wa kusema. Ingekuwa vugumu hivyo tusingeoa dogoo tulia tu.
 
BRN ya MULUGO.....
Hahahahahahaaaaaa
 
mwandikie barua umtume mtoto wa jirani ampelekee alafu toka mbio usisubiri hata majibu.
 
Kama unaogopa basi hujakomaa.. Ama kama umekomaa na bado unaogopa basi huyo m2 hakufai...
 
Back
Top Bottom