Naogopa sana Ndugai akizungumza ukweli

Kama asingeomba msamaha na kuisimamia ile kauli yake, then, Ndugai yule, ndiye ambaye angeweza kuamua liwalo na liwe, lakini yule Ndugai aliyeufyata na kuwa mdogo kama piriton, kwa kujinyenyekeza kwa the executive, hawezi tena kuamua lolote liwe, naamini by now barua ya kuachia ngazi iko tayari.

Baada ya kuomba ule msamaha batilifu uliokataliwa, hana turufu yoyote, he has to go!.

It's true ana mengi, ila hawezi kutoa siri zozote!, ingekuwa ni kutoa siri, angetoa Lowassa, hivyo usitegemee Ndugai atatoa siri yoyote.

Japo hapa kwenye hili la 2025, Ndugai amesingiziwa tuu, lakini hawezi kujibishana na boss wake, the boss is always right, hata kama boss kashika karatasi nyeupe, akamuuliza Ndugai,
Boss: "Hii karatasi ni rangi gani?"
JYN: " Nyeupe"
Boss: "Hii nyeupe gani?, au una color blindness?, hii si nyeusi!"
JYN: "Sorry boss, mwanzo niliona vibaya, kumbe ni nyeusi".

Ndugai kwa sasa si lolote, sii chochote, hana lolote jingine isipokuwa kufungasha. Amepata ajali mbaya kisiasa, amepigwa dafrao, hawezi kuinuka tena!.
P
Nikiona andiko lako natulia kulitafakari, always unaandika vitu vya msingi, iwe unasifia au kuponda, hongera sana.
 
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!

Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.

Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!

Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!

Ndugai asichukuliwe poa,akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!

Muda utaongea.
Afunguke kwanza jinsi alivyopata ubunge na uchaguzi mkuu 2020.
 
Wakimalizana na Ayubu, next atakuwa Mama yetu. Wacha tuendelee kuwtch hii movie
 
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!

Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.

Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!

Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!

Ndugai asichukuliwe poa,akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!

Muda utaongea.

Unadhani uongozi ni kikao cha hadithi. Kuna vitu hawezi kuzungumza kabisa.
 
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!

Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.

Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!

Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!

Ndugai asichukuliwe poa, akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!

Muda utaongea.
Ndugai wakati wa press alikuwa chini ya ulinzi, na alienda kuomba radhi sio kwa utashi wake ujue hilo.
 
Kwa aina ya wabunge waliopo sasa na kwa aina ya siasa za ndani ya CCM, japo Ndungai ana hoja lakini wengi watamtosa na kuwa upande wa mlipaji anayejaza matumbo yao,na ndiyo urithi aliowaachia Magufuli. Siasa za kishamba na kinafiki kabisa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

Ninakubaliana na wewe ila usiishie kwa wanasiasa bungeni tu. Hali iko hivyo kote vyama vya siasa hadi kwetu.

Kumbuka hata kina Mwingira, Shoo, mzee wa Upako, Ndugai au Polepole waliojaribu kupinga mambo hadharani nani wamewahi kutoa hata matamko tu ya mshikamano?

Kwanini CCM wanatuita SACCOS?

Usiwaache hata wanaotumia fake ID.
Ukweli ni Kwamba si zaidi ya Lissu na Shangazi Fatma. Bila shaka hata Mbowe akiwa huru angetamka neno!

Ni lazima kubadilika. Ushabiki siyo siasa.

Kama hatuwezi kuunga mkono hoja tunachotaka au kutegemea basi ni nini?

Habari ndiyo hiyo.

Cc: Vessel Erythrocyte denooJ pascal
 
Ndugai ukweli atakao ongea ni kujivua nguo tu! Amefanya madudu mengi sana katika Bunge.....

Kiufupi Ndugai hana credibility ya kuutaka utakatifu kwa umma.
 
Hivi sukuma gang mna nini? Mbona wapumbavu sana.

Heri sukuma genge anayepambania nchi kuliko sambarau wewe uliyekaa mkao wa kula.

Au nasema uongo?

Bwana Naipendatz huna hata neno la faraja kwa sukuma genge ambao japo wanafurukuta?
 
Akina mzee Mangula, mzee Mwinyi na mzee Kikwete et al hawatakubali hii historia ya kumfukuza Speaker iweke kwa kupishana kauli tu na Rais. This will be “childish”. Itakuwa doa kubwa sana kwa Rais

As such, watayamaliza behind the scene na Ndugai atatunda mpaka 2025. No wonder ile press ya Shaka imekuwa postponed. Those people from Zanzibar were moving too quickly and they had to be stopped somehow kabla hawajaharibu beyond repair

Umewaza mbali sana,
 
Kama asingeomba msamaha na kuisimamia ile kauli yake, then, Ndugai yule, ndiye ambaye angeweza kuamua liwalo na liwe, lakini yule Ndugai aliyeufyata na kuwa mdogo kama piriton, kwa kujinyenyekeza kwa the executive, hawezi tena kuamua lolote liwe, naamini by now barua ya kuachia ngazi iko tayari.

Baada ya kuomba ule msamaha batilifu uliokataliwa, hana turufu yoyote, he has to go!.

It's true ana mengi, ila hawezi kutoa siri zozote!, ingekuwa ni kutoa siri, angetoa Lowassa, hivyo usitegemee Ndugai atatoa siri yoyote.

Japo hapa kwenye hili la 2025, Ndugai amesingiziwa tuu, lakini hawezi kujibishana na boss wake, the boss is always right, hata kama boss kashika karatasi nyeupe, akamuuliza Ndugai,
Boss: "Hii karatasi ni rangi gani?"
JYN: " Nyeupe"
Boss: "Hii nyeupe gani?, au una color blindness?, hii si nyeusi!"
JYN: "Sorry boss, mwanzo niliona vibaya, kumbe ni nyeusi".

Ndugai kwa sasa si lolote, sii chochote, hana lolote jingine isipokuwa kufungasha. Amepata ajali mbaya kisiasa, amepigwa dafrao, hawezi kuinuka tena!.
P
Aende ACT
 
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!

Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.

Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!

Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!

Ndugai asichukuliwe poa, akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!

Muda utaongea.
Haya ni maoni yangu na hakuna anayewajibika kuyakubali au kuyakataa..
Pamoja na yoote ayajuayo, Mh Ndugai hana ubavu wa kulitingisha hili Taifa.
Pamoja na kinga aliyejiwekea,Mh Ndugai mahakama inamuhusu kwa wale dada zetu 19.
Take my words,sasa hivi kama alikuwa anayo kambi,basi itakuwa wameanza kusambaratika.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!

Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.

Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!

Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!

Ndugai asichukuliwe poa, akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!

Muda utaongea.
Njaa tuu yule hamna kitu
 
Bro ndugai hana mengi kulinganisha na ccm inavyoyajua yake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom