naogopa sana,..naomba msaada wakuu

habby binafsi naomba noe langu la moyoni japo ulisha conclude juu ya maamuzi yako. kwanza kabisa unaelewa ndoa ni nini na inataka nini? je waelewa changamoto zake na raha zake? nachelea kusema kwamba wewe jf imekuskilizisha ya upande mmoja tu.

labda twende mmbali zaid, binti anataka mauoane wewe unaona ugumu kwa uliyoyawaza lakin je waona itakuwa vyema kuendelea kuzini na binti? ama waona raha kuendelea kumfanya awe katikaa mitihani? anyway hii siyo sababu kuu kwanini watu wanaoana.

nije hapa tena nikueleze kwamba kila nikitafakari juu ya swala lako napata majibu tofauti juu yako. na nakuhakikishia hata ufike miaka 40 kama unayoyawaza sasa hivi ndivyo yalivyo basi hutoweza kuoa. nafikiri labda ungeenda ukawaulaiza wazazi wako kama wapo (am sorry if the opposite is true) nijuavyo mimi baba ama mama anaweza kukushauri vzr sana juu ya hali kwakua wanajua maturity yako upto now pia waweza kuwashirikisha kaka ama ndugu zako wanaokuona ili wakwambie kama akilli yako imekua to such extent. Lakin pia assess yourself wala usijiongopee jiangalie je kweli wewe unaweza haya? usianze kumwangalia mwenzi wako kama mtu nayehitaji kukua bali jiangalie wewe kwanza as head of the house. ili ujue utamudu kuanza haya maisha while thinking of it jiulize maswali yafuatayo
- je mimi niko tayari kuanza maisha ya familia?
-je niko tayari kumpenda, kumjali na kumtunza mwenzangu kwa tabu na raha?
-je niko tayari kuvumilia na kuwa mwaminifu kwake kadiri niwezavyo mimi?
-je niko tayari kupokea wageni kwangu iwe ni ndugu zangu ama ndugu zake?
-je niko tayari kushirikiana na ndugu zangu na zake kwa hali na mali katika furaha na huzuni?
-je niko tayari kuwapokea kuwatunza na kuwalea katika maadili watto nitakaopewa na mungu?
-je niko tayari kuyakubali mapungufu ya mwenzi wangu na kuyachukulia kama changamoto wala si kama chuki?
-je nipo tayari kuona familia yangu inastawi kiafya, kiuchumi na kielimu?
-je nipo tayari kukubali lolote chungu katika maisha haya ninayotaka kuyaanza iwe ni ugonjwa, kukosa kazi ama kufukuzwa kazi ama kufilisika?
 
Last edited by a moderator:
kwanza nakupa hongera, wala usiogope broo, kikubwa ni uwe umelizika nae kitabia na mengneyo, haina shida weka kitu ndani ujinafasi kwa raha zako!

Asante kaka, nje niko poa confidenc ila ndan najua am scared na maugomvi ya ndoa. Japo najua cyo lazma nasisi yanikute
 
Ndoa ngumu jaman, na kwa umri wa 24 kwa wewe mkaka ndo bado kabisaa vumilia wewe ukiwa 29 then yeye 25 hiv wote mtakua mmekua, akilazimisha sana mwambie ur nt ready to be husband 4 nw, let the time takes its time..alamsiki!

Mh thanx .alamsik
 
usifuate mkumbo ndoa sio kitu cha kuamka asubuhi unataka kuoa kama umejipanga kukabiliana na changamoto za kimaisha oa laikini kama bado usidhubutu utakufa kwa mawazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom