Naogopa sana msichana mwenye majini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naogopa sana msichana mwenye majini.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Spider man, Apr 15, 2012.

 1. S

  Spider man Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman nawaogopa sana wasichana wenye majini,ila sasa nina demu wangu mwenye majini sa cjui itakuweje na wakat namuogopa ila najkaza ksabun kutokana na yeye kunipenda kwa dhati.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh utashangaa unampa vitu masaa mawili haridhiki anakuambia sijatoshekaaaa lol
   
 3. S

  Spider man Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh teh teh itakuwa anamajin mengi kwa hali hyo ha ha ha 2takmbiana aiseee,afu nishawah kuambiwa kuwa huyu bnt ana majini 12 sa cjajua niukwel au uongo.
   
 4. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Ngoja cku kati ya hayo majini yake likuombe kiwasheli ndio utaanza kuogopa vizuri sasa...
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa we jiandae kuhudumia zile kitu idadi sawa na ya majini yake....walau moja kwa kila jini...teh
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaa sijui atakimbilia wapi
   
 7. h

  hayaka JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mpeleke kwenye maombi mapema.
   
 8. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Itabidi arudi hapa hapa atuadithie kiluchomkuta...
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wengine hua hawana majini , dizain boshen flani hivi, hasa akisikia una manzi mwingine tofauti na yeye.
  Bt kama utakua unamsukumia binduki kifresh, ma'peak yote makina kibo, ma'uhuru unamkwezesha jini utaliona wapi bwanaa!
   
 10. S

  Spider man Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mie ndo nataka nifanye hvyo,sema ndo hvyo naogopa kumwambia twende ukaombewe.
   
 11. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,125
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  ngoja siku apandishe ndo utajua na maombi sio solution watamuongezea idadi ya madude tu tena yenye nguvu zaidi ya hayo.
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh tena akikutana na majini ya kiume yatamgeuzaje....lol
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mkuu hiyo point ina ukweli nini?mana mbona kama imenitokea...masaa 5 mzigoni bado hatosheki
   
Loading...