Rafiki yangu alifunga ndoa miezi miwili iliyopita na mchumba wake wa siku nyingi.
Kutokana na ukali wa foleni huwa ninakuwepo maeneo ya mjini nikipata moja baridi, moja vuguvugu na nyingine moto.
Kila siku huwa namuona huyu shemeji yangu akiwana na kasharobaro kamoja kenye kuvaa milegezo huku wakinyweshana pombe, denda kidogo na kutomasana kwa fujo.
Natamani kumwambia mumewe licha ya kuwa naumia moyoni.
Najua nikimwambia mumewe nitaharibu uhusiano wao, na siku wakipatana wataniita M'MBEA.
JE NIFANYEJE?
Ndoa ikisambaratika alaumiwe nani?
Hahaha... hii part hapa tamu sana!Natamani kumwambia mumewe licha ya kuwa naumia moyoni.
Najua nikimwambia mumewe nitaharibu uhusiano wao, na siku wakipatana wataniita M'MBEA.
Unaonaje tukionana wewe ndio uwe mpashaji wa habari kwa rafiki yangu?Inawezekana hujui maana ya mmbea. Usiache rafiki yako akateketea. Mueleze ukweli na utakuwa umemsaidia sana. Kwa nini mkewe amdanganye? Nenda kaseme kama huwezi nipitie nikusindikize.
Naona vinyota tu, hiyo lugha ni Paw na wenzake pamoja na wewe ndio wenye kuielewa
Nimekupata mpwanilitumia eno kali kidogo f a l a naona wakalizuia ...
afrodenzi; How kwenye red wako je?Simple
Mchukue huyo rafiki yako kaa nae
Hapo .. kunyweni kuleni chekeni..
Bibie akijitokeza mwache ye ajionee mwenyewe.. then hapo hautakuwa mmbea..
Bali utakuwa wa A _town / Manyara ..karibu.
Duh!..mkuu bujibuji chukua huu ushauri naona umekaa kiukwelikweli,....yaani siku zote mwizi ukimfumania lazima awe mdogo hivyo nahakika utammudu tu huyu sharobaro,mpe discipline ya kutosha kama vile wewe ni mwenye mali halisi kisha usimwambie chochote shemeji yako..ujumbe utakuwa umemfikia...Buji amua kiume....mwite pembeni huyo sharobaro...mweleze kuwa huyo ni mke wa mtu, akileta usharobaro wake..kama unammudu mzibue makofi mawili usizidishe ukaua buree.

Simple

Mchukue huyo rafiki yako kaa nae

Hapo .. kunyweni kuleni chekeni..

Bibie akijitokeza mwache ye ajionee mwenyewe.. then hapo hautakuwa mmbea..

Bali utakuwa wa A _town / Manyara ..karibu.
Naogopa kufanya lolote, lakini UKAKA gani wa kutomasana vifuani na mapajani?Hahaha... hii part hapa tamu sana!

Unaweza kuta huyo sharobaro ni kaka yake huyo shemeji yako,,, unaweza ukaumbuka!! fanya utafiki kwanza kabla yakusema chochote!
Hii imekaa kiume sana, ntai practiceBuji amua kiume....mwite pembeni huyo sharobaro...mweleze kuwa huyo ni mke wa mtu, akileta usharobaro wake..kama unammudu mzibue makofi mawili usizidishe ukaua buree.