Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,860
mimi huwa nakaa gizani kama kawaida yangu noctunal, hanioni, ila mimi namuona.Subiri kidogo, ina maana huyo shemeji nae hua anaona kuwa umemuona? kaaa kimya kaka, waweza kuta jamaa ndio kamtuma mama, sidhani kama yanakuhusu sana japo inauma sana na inauma kwasababu na wewe unakuwa na mawazo kama hayo kuwa huenda shem anakufanyia hivyo...au nadanganya? hama hio bar maana kama jamaa atakuja kumfumania mkewe na akijua kuwa ulikua unajua na hukumwambia bado itakuwa tena shida kwako, vizuri acha kupata hizo za baridi, za uvuguvugu na za moto, kajikalie kwenye foleni uwahi nyumbani, hii ina faida mbili; utaepusha ugomvi na rafiki yako endapo atatambua kuwa ulikua unaona mkewe akiiba na ukakaa kimya lakini pia utakuwa na muda mzuri na familia yako na kuondoa lile wazo kuwa wawezasaidiwa kumlea shemeji...karibu nguruwe, na mimi nasubiri foleni hapa jirani jirani tu
Simple
Mchukue huyo rafiki yako kaa nae
Hapo .. kunyweni kuleni chekeni..
Bibie akijitokeza mwache ye ajionee mwenyewe.. then hapo hautakuwa mmbea..
Bali utakuwa wa A _town / Manyara ..karibu.
<br /><b>uitwe mmbea mara mbili? maana wewe ni mmbea balaa? bujibuji mchezo</b>....
Simple
Mchukue huyo rafiki yako kaa nae
Hapo .. kunyweni kuleni chekeni..
Bibie akijitokeza mwache ye ajionee mwenyewe.. then hapo hautakuwa mmbea..
Bali utakuwa wa A _town / Manyara ..karibu.
Morio umenena lililo jema mbele za wanadamu na mbele za Mungu pia.Buji, usiseme ww shuhudia tu na acha hivyo hivyo mambo ya mapenzi ni maumivu ya kichwa sana, mwache ajue mwenyewe asipo mwache aishi kwa raha zake coz hajui.
Ndoa ikisambaratika alaumiwe nani?
Ndoa ikisambaratika alaumiwe nani?
Rafiki yangu alifunga ndoa miezi miwili iliyopita na mchumba wake wa siku nyingi.
Kutokana na ukali wa foleni huwa ninakuwepo maeneo ya mjini nikipata moja baridi, moja vuguvugu na nyingine moto.
Kila siku huwa namuona huyu shemeji yangu akiwana na kasharobaro kamoja kenye kuvaa milegezo huku wakinyweshana pombe, denda kidogo na kutomasana kwa fujo.
Natamani kumwambia mumewe licha ya kuwa naumia moyoni.
Najua nikimwambia mumewe nitaharibu uhusiano wao, na siku wakipatana wataniita M'MBEA.
JE NIFANYEJE?
Mkanye Mhusika akiendelea ndo ufanye hilo zoezi lingine..
Naona vinyota tu, hiyo lugha ni Paw na wenzake pamoja na wewe ndio wenye kuielewakipi wakiona sahihi kumwacha jamaa awe kama **** au kumsaidia asiwe ****???