Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
si ndio raha zenyewe hizoo......uje na weye ujumuike katika msosi sie sio wachoyo!!!
Hivi shahidi anafungwa..?
anafungwa magoli!!!
Paloma, mimi ndiye niliyeenda kukunywesha ili nimalizie sida zangu mtaroni, maana mwenye nyumba kaweka kufuli mlangoni hadi nilipe kodi yake ya mwaka.
Nilikuwa nimejipanga vizuri kabisa, nikabakisha na hela ya gesti. Tatizo lako unakula kama kiwavi, chips kuku wewe, mishikaki wewe, chips mayai wewe, mchemsho wa samaki wewe, mbuzi choma wewe, makange wewe, yaani ukamaliza vyakula vyote jikoni, wakipita wauza karanga unataka.
Kwa mpango huo ningekupeleka gesti gani ya ile chenji buku jero?
..................mwili haujengwi kwa kubofya vituve vya keyboard!!!