Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,117
- 165,934
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.
Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji

FirstLady1, mpaka wife aniBake ndio zoezi lifanyikeHao watoto uliwapataje ?
Ndio, nimefanana nao sana matumbo, nywele na kucha, hata mama yao anasema nywele zao sawa kabisa na zanguUna uhakika ni wako?