Nanyimwa haki ya ndoa kisa simfikishi kileleni

Pia inaezekana mwanamke ameshakuchoka kapata mkunwaji mwingine ndomanakwaupande wangu hua sipendi kuchepuka maana unaeza ukakutana na mtu anapiga kazi ukaona mumeo fala tuuuu bora nibaki njiakuuu kama nakosa utamu achaniukose tii
 
Kweli kabisa mama. Mambo haya wakati mwingine husababishwa na matatizo yanayompelekea mtu awe na msongo wa mawazo.
kweli kaka mtu anajiongelea hovyo tu unafkili muhusika anajiskiaje
 
Ajitahidi kubadilisha vyakula, na kufanya mazoezi sana, nilikua km we we lakini baada kuanza kula vyakula asilia sasa hivi natisha
Avocado, Watermelon, cinamon, garlic, less sugar consumption per day and gym workout will increase your libido. Contrary to most of JF members advice, I will advice you to practice a moderate masturbation , This practice will enlarge your manhood and will stimulate your muscles arround it .
 
Mkuu VP ushapata tiba ya tatizo lako tusaidiane nami niko kama ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…