Kwenye mambo ya maendeleo hivi huwezi ona mitoto ya ccm ikichngia uzi..ila ungeandika nanyaro kaonekana na mke wa rizone ndo ungeona yametia timu
cc msalani
Ritz
Faiza fox
Vijana mlioko ccm mnaangusha taifa la tanzania ingekua amri yangu.. Ningewafanya kitu mbaya wote tubaki na vijana wakakamavu na wenye upeo wa kuona mbelewadanganye wajinga yeye mwenyewe kapanga kwenyenyumba yetu kajengalini nyumba ya mwalimu ndio maana waandishi wengina mnaishia mikoanitu
Diwani wa kata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata ameendelea kufanya makubwa ndani ya kata yake baada ya jana kukabidhi unga na sukali na kukagua ujenzi wa jiko la kisasa kwenye shule ya msingi Levelosi ikumbukwe mwenyezi uliopita hospitali ya Levelosi alifanikiwa kuipandisha hadhi na kuwa hospitali ya wilaya.
Baada ya kufanikiwa kuipandisha hadhi hospitali ya Levelosi na kuwa hospitali ya wilaya diwani Nanyaro ameendelea kufanya makubwa ndani ya kata ya levelosi baada ya jana kukabidhi unga na sukari kama kawaida kwaajili ya watoto wa shule hiyo kupata uji na walimu kupata chai.
Pia Diwani huyo alikagua ujenzi wa jiko la kupikia na kushuhudia walimu wakiahamia kwenye nyumba alizo zisimamia ..Akiongea na waandishi wa habari Mwalimu mkuu(Kaaya) wa shule hiyo alisema waalimu na wanafunzi wanamshukru sana diwani huyo kwa juhudi zake za kuhakikisha shule hiyo ina kuwa ya kisasa kabaisa kwani kwasasa kuna miradi zaidi ya mitano inaendelea shuleni hapo na miwili ikiwa imekamilika kwa 100% na mitano 70% kama mnavyoona kuna mradi wa thamni ya mil 12 wa kuvuna maji ya mvua ambao unaendelea kwa sasa huku chama chake kikiwa kimeahidi kupaka rangi mabati ya majengo yote ya shuleni hapo hii hijawahi kutokea alisema Mwalimu Kaaya
naye mwalimu Fred aliye pokea unga na sukali alisema wana mshukru Diwani huyu wa chadema kwa juhudi zake kwani sasa wanafunzi wanaafya na hata mahudhulio yameongezea sana ambalo ndiyo lilikuwa dhumuni la kuwapatia watoto uji.
View attachment 157090
Wanafunzi wa shule ya msingi Levelosi wakimsaidia Diwani wa kata hiyo Mhe. Nanyaro Ephata kushusha mifuko ya unga na sukari kutoka kwenye gari la diwani huyo.
View attachment 157091
Mhe. Nanyaro Ephata akikabidhi unga na sukari kwenye shule iliyopo kwenye kata yake ya Levelosi
View attachment 157092
Nanyaro kushoto na wa katikati ni mwalimu mkuu wa shule ya Levelosi.
View attachment 157093
View attachment 157079
Moja ya sehemu zinazotumika kwasasa kupikia uji...
View attachment 157087
Moja ya majengo ya kuishi waalimu yaliyojengwa na diwani huyu.
hivi umetuona mafal.a wote humu? yaani hilo jengo unalosema kajenga linaonekana lipo hapo zaidi ya miaka 20, ukiangalia hata bati lina kutu, halafu eti unasifia huyo muuza sura. upuuzi kabisa. angalia hata anapokabidhi huo unga uone alivyomuza sura. halafu nani alikuambia kazi ya diwani na kujenga mashule? poor.
wadanganye wajinga yeye mwenyewe kapanga kwenyenyumba yetu kajengalini nyumba ya mwalimu ndio maana waandishi wengina mnaishia mikoanitu
Diwani wa kata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata ameendelea kufanya makubwa ndani ya kata yake baada ya jana kukabidhi unga na sukali na kukagua ujenzi wa jiko la kisasa kwenye shule ya msingi Levelosi ikumbukwe mwenyezi uliopita hospitali ya Levelosi alifanikiwa kuipandisha hadhi na kuwa hospitali ya wilaya.
Baada ya kufanikiwa kuipandisha hadhi hospitali ya Levelosi na kuwa hospitali ya wilaya diwani Nanyaro ameendelea kufanya makubwa ndani ya kata ya levelosi baada ya jana kukabidhi unga na sukari kama kawaida kwaajili ya watoto wa shule hiyo kupata uji na walimu kupata chai.
Pia Diwani huyo alikagua ujenzi wa jiko la kupikia na kushuhudia walimu wakiahamia kwenye nyumba alizo zisimamia ..Akiongea na waandishi wa habari Mwalimu mkuu(Kaaya) wa shule hiyo alisema waalimu na wanafunzi wanamshukru sana diwani huyo kwa juhudi zake za kuhakikisha shule hiyo ina kuwa ya kisasa kabaisa kwani kwasasa kuna miradi zaidi ya mitano inaendelea shuleni hapo na miwili ikiwa imekamilika kwa 100% na mitano 70% kama mnavyoona kuna mradi wa thamni ya mil 12 wa kuvuna maji ya mvua ambao unaendelea kwa sasa huku chama chake kikiwa kimeahidi kupaka rangi mabati ya majengo yote ya shuleni hapo hii hijawahi kutokea alisema Mwalimu Kaaya
naye mwalimu Fred aliye pokea unga na sukali alisema wana mshukru Diwani huyu wa chadema kwa juhudi zake kwani sasa wanafunzi wanaafya na hata mahudhulio yameongezea sana ambalo ndiyo lilikuwa dhumuni la kuwapatia watoto uji.
View attachment 157090
Wanafunzi wa shule ya msingi Levelosi wakimsaidia Diwani wa kata hiyo Mhe. Nanyaro Ephata kushusha mifuko ya unga na sukari kutoka kwenye gari la diwani huyo.
View attachment 157091
Mhe. Nanyaro Ephata akikabidhi unga na sukari kwenye shule iliyopo kwenye kata yake ya Levelosi
View attachment 157092
Nanyaro kushoto na wa katikati ni mwalimu mkuu wa shule ya Levelosi.
View attachment 157093
View attachment 157079
Moja ya sehemu zinazotumika kwasasa kupikia uji...
View attachment 157087
Moja ya majengo ya kuishi waalimu yaliyojengwa na diwani huyu.
Amejengaje?
Fedha ametoa mfukoni kwake?Kwani nyumba zinajengwaje we ngu.chiro?
Nanyaro ni tumaini ya wananchi wa kata ys Levolosi. ni mfano wa kuigwa kwa kata zote jimbo la Arusha .... Big up kamanda with.