Nanyaro azidi kufanya makubwa Kata ya Levelosi - Arusha

Nanyaro azidi kufanya makubwa Kata ya Levelosi - Arusha

nisamehe mkuu..
Mkuu kutokana na timu iliyotajwa na kamanda Mbowe sasa hivi nimekusamehe 80x80. Kama hukusikia ni kikosi hatari mpaka Makinda anaweweseka eti tumekumbuka shuka asubuhi! yeye yanamhusu nini? Ukweli wametahayati
 
ni bora na bado bei nafuu lakini kama ingekuwa intarahamwe wangeongeza mara 16 kama wanavyofanya bei za ticket za ndeke na RAV 4 kwa mil 80..chezea intarahamwe akaa CCM wewe

Na bado CCM wanashinda kwa kishindo,hapo ndipo huwa siwaelewi watanzania... Nafikiri kuna watanzania wanaamini kuwa maisha ya ufukara wananayoishi ni haki yao...
 
Chadema mnaleta maendeo sie tunaiba pampu kurudisha maendeleo.
 
Huyo diwani mdogo namsikia kila leo,mwezi uliopita nasikia kapeleka tena unga na sukari mara jiko sio kibanda tena mara nyumba za waalimu! Wakati sie huku ofice ya mwalimu mkuu ni kama choo,Nanyaro wenu awe mfano wa kuigwa nawapenda chadema wacha kesho nikatafute kadi yenu.
 
Mkuu umetaja hiyo ya Rav4 milioni 80 mpaka nimepaliwa kabia kangu. Eti waziri naye bila aibu anasimama na kutetea. Hii ni nchi ya aina yake hapa duniani na sitashangaa siku moja Mtz akikutana na raia wa nje akijitambulisha wAtu wanaangua kicheko.
Baya zaidi wabunge wa CCM wakashangilia

Tatizo sio Wabunge wa CCM, tatizo ni sisi watanzania yaani kuna watu tena wengi wanaona hayo hayawahusu yaani katika nchi hii watu tumelala kila mtu anakufa kivyake.. Nashangaa vyama vya siasa hasa UKawa wana umoja wa vijana katika vyama vyao kwanini hawahamasishi hawa vijana kudai haki zao..

Sisi vijana ndio taifa la kesho tusipowambia hawa viongozi kuwa imetosha, tutakuja kujishtukia tunauzwa tena kwa bei ya suti....
 
Well done kamanda. Mpaka mitaa ya kwetu kimandolu tunasikia mavitu yako.
 
huyu diwani anataka.kugombea ubunge wa arusha mjini.. hapendezwi na vurugu za lema. ubunge wa lema uko hatarini
 
juzi nilikuwa na diwani nanyaro picnic akaniambia nia yake ya kugombea ubunge wa arusha mjini mwakani.. anataka kurudisha uchumi wa arusha uliovurugwa na lema
 
huyu diwani anataka.kugombea ubunge wa arusha mjini.. hapendezwi na vurugu za lema. ubunge wa lema uko hatarini
Pro Zitto mnamchukia sana Lema. Kwa taarifa yako watu wa Arusha wanafanya mambo yao kwa kushitiliana sio huko ACT full ushurukina maana mnaua mpaka panya. Huku mkijisifu kuwa mmeaga kwenu.
 
juzi nilikuwa na diwani nanyaro picnic akaniambia nia yake ya kugombea ubunge wa arusha mjini mwakani.. anataka kurudisha uchumi wa arusha uliovurugwa na lema
Huna hadhi ya kukaa na Nanyaro au the like kwa vile wewe ni mnafiki. Ukiona watu wanapata mafanikio ni kwa vile wanawakwepa wanafiki kama wewe.
Watu wa aina yako wanapatikana Chalinze ,Bagamoyo nk mkijipendekeza ili kupewa ubwabwa
 
Nakusubiri Msalani uweke domo lako hapa

Hapa mimi ndio nasemaga chadema nitafauti sana nachama chochote chakisiasa hapa nchini yanatekelezwa yale yaliyo semwa. Big up Diwani tupo pamoja kuijenga Arusha
 
Pro Zitto mnamchukia sana Lema. Kwa taarifa yako watu wa Arusha wanafanya mambo yao kwa kushitiliana sio huko ACT full ushurukina maana mnaua mpaka panya. Huku mkijisifu kuwa mmeaga kwenu.

mkuu.diwani nanyaro anataka kugombea ubunge wa arusha mjini mwakani. unalizungumziaje suala hilo?
 
Hongera Diwani Ephata Nanyaro..

nanyaro anamshinda lema kwa kuchangia maendeleo.. rafiki yangu nanyaro ule mpango wako wa kugombea ubunge wa arusha mjini mwakani endelea nao uwakomboe wananchi wa arusha.. lema jimbo la arusha limemshinda
 
Huna hadhi ya kukaa na Nanyaro au the like kwa vile wewe ni mnafiki. Ukiona watu wanapata mafanikio ni kwa vile wanawakwepa wanafiki kama wewe.
Watu wa aina yako wanapatikana Chalinze ,Bagamoyo nk mkijipendekeza ili kupewa ubwabwa

njoo picnic uone ninavyowapa wachagga ofa za bia na supu ya utumbo
 
Huyu diwani ni mwizi MWKT Uvccm wilaya Arusha Mjini aliwahi kumtuhumu kuwa ni mwizi Wa pesa za soko LA kilombero na kula pesa ya nyumba ya MWL shule ya levolosi Hosp. Imejengwa na meya huyo diwani alikuwa anasaini posho na kukimbia maana alikuwa ansmpinga meya hiyo Hosp. Kajenga lini??

Acheni kutumia kitu cha Arusha nyie
 
Kwenye mambo ya maendeleo hivi huwezi ona mitoto ya ccm ikichngia uzi..ila ungeandika nanyaro kaonekana na mke wa rizone ndo ungeona yametia timu
cc msalani
Ritz
Faiza fox
 
Duh!!! Hii thread jamaa wa BK 7 wanaiogopa kama Ukoma.
 
Back
Top Bottom