Nanyaro ahojiwa kwa saa kadhaa na polisi Arusha

Wanajamvi
Nawashukuru wote,ni kweli nilihojiwa na polisi,kwa saa kadhaa,nikituhumiwa kula njama za kutaka kumwua meya...,,nilijidhamini siku hiyo ya jumatano usiku,,,kimsingi hizi tuhuma ni za uongo na hazina hata chembe ya ukweli,kwa sasa nipo nje na mapambano yanaendelea

Hivi magwanda wakitawala, kumwambia au kumtishia mtu "ntakuua" itakuwa "ruksa"?

Tena huyo kama ni kiongozi ilitakiwa asulubiwe na asiachiwe (kama katishia au kusema nia ya kutaka kuua)asulubiwe mpaka apate akili ili iwe fundisho kwa wengine.

Hivi magwanda wakitawala, kumwambia au kumtishia mtu ntakuua itakuwa ruksa Tena huyo kama ni kiongozi ilitakiwa asulubiwe na asiachiwe (kama katishia au kusema nia ya kutaka kuua)asulubiwe mpaka apate akili ili iwe fundisho kwa wengine.
Wacha umagamba uliopitiliza wewe,
Unaweza kuthibitisha hiyo kauli yako ya "nitakuua

Wacha kudandia dandia maneno wewe,
Wenzio wanadandia m$¤o wanapata mimba, we unadandia maneno!!!
Usulubiwe kwanza wewe kwa tabia yako ya kushabikia ufuska wa siasa wa hao magamba wenzio,

Wanajamvi

...ni kweli nilihojiwa na polisi,

...nikituhumiwa kula njama za kutaka kumwua meya...,,

,,,kimsingi hizi tuhuma ni za uongo na hazina hata chembe ya ukweli,

....kwa sasa nipo nje na mapambano yanaendelea

Kaka nashukuru kwa maelezo yako. Umenijibu maswali yangu yote niliyotaka kuuliza.
Hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, hasa mkoa wa Arusha, haya ni mambo tuliyokuwa tunayategemea! Kwa makamanda, ndio kwanza kunakuchwa, na kwakuwa chama ni makini, basi ni "Hakuna kulala hadi kieleweke!"

Hivi magwanda wakitawala, kumwambia au kumtishia mtu "ntakuua" itakuwa "ruksa"?

Tena huyo kama ni kiongozi ilitakiwa asulubiwe na asiachiwe (kama katishia au kusema nia ya kutaka kuua)asulubiwe mpaka apate akili ili iwe fundisho kwa wengine.

Ndio maana masaburi alikuwa anazungumzia magamba wenzie! Watu kama wewe!

Filipo,pole sana kwa jitihada zako za kunitafuta hewani,simu zangu zilikuwa offline,kimsingi Arusha hatuna meya huo ndio msimamo wangu na wapenda haki wote wa Arusha
saa ya ukombozi ni sasa

Back
Top Bottom