Nanyaro ahojiwa kwa saa kadhaa na polisi Arusha

Nyie CDM tofauti sana na Misri au Tunisia na Libya, nyie ni Wakiristo, Misri, Tunisia, Libya, Yemeni, Syria, ni Waislam, wenzenu hawaogopi kufa, nyie CDM ni Wakiristo safi mnaogopa kufa.
Umeona tofauti ilivyokuwa kubwa!
Nyie endeleeni kumdanganya mfalme juha kuwa amevaa nguo kumbe yuko uchi eti si watanzania si waislamu,
hata huyu alikuwa anadanganywa hivihivi na kina Uday na Qusay.

Wanajamvi,

Nanyaro ambaye ni Mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Arusha,na mwenyekiti wa wilaya,pia ni diwani wa Levolosi,amehojiwa kwa saa kadhaa,kwa tuhuma za kuhusika na njama za kutaka kumwua meya mwenye utata wa jij la Arusha.

Habari kutoka ndani ya polisi zinasema kuwa alihojiwa na maofisa kutoka dar,siku ya jumatano kuanzia saa nane mchana hadi usiku wa manane,na kuachia kwa kujidhamini,na ametakiwa kuendelea kuripoti polisi kwa wiki nzima

Source: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - Mwanzo
Dalili ya serikali legelege ni hii pia....yule meya kashasema hajui jambo la kutishiwa maisha? Yani hata kama ni dili wanashindwa kujipanga kutengeneza vizuri? Haya ndio kama ya akina Jairo,Luhanjo anasema hivi na raisi anasema vinginevyo.....Tayari meya kwa kinywa chake mwenyewe amesema hakuna kitu kama hicho sasa polisi na kiereere chao wanataka nini kama sio ukandamizaji wa demokrasia na kukichafua CHADEMA...?

Safi, tena wangemleta huku Oysterbay kuna chumba cha kufanyia mahojiano kina muda mrefu sana hakijatumika.

hicho chumba hakimfahi mbunge wa ccm ngorongoro aliyetishia kua?
na mafisadi je?

mawazo yako wanafanana na avatar yaka mkuuu,
kisaikolojia mtu uchagua vitu anavyoshabiana navyo kutokana na avatar uliyoweka ni wazi wewe ni mtu wa aina gani
avatar46485_1.gif

Naona Nanyao hapatikani kwenye simu yake lakini nitamshitua aje atoe ufafanuzi juu ya jambo hili.

tambua kwamba haki haijawahi kushindwa hata siku moja mahali popote. unataka nikutukane ili nipigwe ban
ogo

Unajua nashindwa kuelewa!! Hivi ni ushabiki, upofu au kutokuelewa?! Humu jamvini naamini wengi wetu tumeenda shule na hivyo ni weledi wa mambo mbalimbali! Hivi hata kama ni ushabiki, ni ushabiki gani huu usizingatia weledi? Nina mdogo wangu ambae ndo kwanza kidato cha nne, na dogo humwambii ki2 kuhusu CHADEMA; kimsingi anaifagilia ile mbaya!! Lakini ninachompendea dogo huyu, pale CDM wanapochemka anaongea wazi bila ushabiki na hata amapoongea hoja kuhusu CDM hoja zake zinakuwa na mashiko kwelikweli!!! Sasa kama dogo ambae ni only 17 yrs anailezea CDM ki-proffession zaidi; inakuwaje humu ndani watu wazima tunatunguliza ushabiki badala ya uhalisia?! Hivi leo hii polisi hawana haki wa kumuhoji mtu kv tu ni CDM?! Acheni polisi wafanye kazi yao bana, no one is above the law; awe CDM au CCM!!! Isitoshe, yeye ni mtuhumiwa tu ambae polisi wana haki na wajibu wa kumuhoji ili waone kama anastahili kufikishwa vyombo vya sheria!!!

Safi, tena wangemleta huku Oysterbay kuna chumba cha kufanyia mahojiano kina muda mrefu sana hakijatumika.
mara ya kwanza nilidhani wewe ni kati ya masheikh ubwabwa ulie bahatika kukaa PLOT namba 1, mwezi huu mtukufu!aha kumbe ni mlinzi huwa nakupita kila asubuhi kwenye hiki chumba mie nilikuwa sikuoni samahani sana kesho fagia fagia halafu uongeze na viti tunaanza na DJ(david jairo) asubuhi,mchana CAG(uttoh) na jioni ataingia PL(luhanjo) hii ni first batch. kesho kutwa tutakuwa na IDD SIMBA asubuhi,mchana RK (simon group),jioni MASABURI ! Pole kwa kukosa kazi mda mrefu sasa uwe tayari nitakustua asubuhi kama utakuwa bado umelala maana najua pana mbu wengi hapo.

nasdaz, serikali ya ccm imetutengenezea kutokuamini kila kinachofanywa na serikali mfano halisi ni kweli hili sakata la Arusha kuhusiana na huyu meya fake tangu uchaguzi mpaka sasa chadema haitendewi haki kumekuwa na uvunjifu wa sheria kwa wazi zidi cdm kifupi hatuna imani na serikali tena..

Watawala huwa hawajifunzi wanafikiri yanayowatokea wengine hayawezi kuwafika wao, ni mwezi uliopita tu Gaddafi alikuwa analala kwenye jumba la kifahari leo anajificha kama panya na viongozi hawaoni hilo.

Naona kama ukiwa mwanasiasa uwezo wa kufikiria unapungua. Naanza kupata mashaka. Nipen uhusiano kati ya siasa na uwezo wa kufikiria.

Nyie CDM tofauti sana na Misri au Tunisia na Libya, nyie ni Wakiristo, Misri, Tunisia, Libya, Yemeni, Syria, ni Waislam, wenzenu hawaogopi kufa, nyie CDM ni Wakiristo safi mnaogopa kufa.
Umeona tofauti ilivyokuwa kubwa!

Unataka kusema waislam ni wapenda fujo au una maana gani na statement yako hii ?

Naona kama ukiwa mwanasiasa uwezo wa kufikiria unapungua. Naanza kupata mashaka. Nipen uhusiano kati ya siasa na uwezo wa kufikiria.
Si-hasa inahitaji kitu kisiwe hasa ndio chenyewe (kiwe cha uongo),
Yaani kwa mfano unaweza kukuta % kubwa ya wapiga kura 2010 hawakumchagua V. D. Gama lakini kwakua zile kura si hasa zilizotumika bali TISS, jamaa bado anauza sura pale kwa wavuvi,
Sasa kwakua si-hasa inahitaji ufikirie mambo mengi bila kujali utekelazaji wake, tukija kwenye ndio-hasa (reality) ndo unakuta vitu havitekelezeki kama zile ahadi za jamaa ambazo sina uhakika kama anazikumbuka hata moja kwa sasa kwa jinsi zilivyokua nyingi.
Nimekujibu?!!

Hivi leo hii polisi hawana haki wa kumuhoji mtu kv tu ni CDM?! Acheni polisi wafanye kazi yao bana, no one is above the law; awe CDM au CCM!!! Isitoshe, yeye ni mtuhumiwa tu ambae polisi wana haki na wajibu wa kumuhoji ili waone kama anastahili kufikishwa vyombo vya sheria!!!
Wewe ndio unatumia ushabiki uliopitiliza,
Unamkamata "A
" kwa madai ya kumuibia "B",
Hapohapo "B" anadai yeye hajaibiwa chochote, kila kitu chake kiko sawa.
Wewe kwakua labda unazijua sana mali za "B" kuliko hata mwenye mali mwenyewe unaendelea kumng'ang'ania "A" kwamba unamuhisi kamuibia "B",
Hakika hapo utakua unafikiri kwa Masaburi, kile kilichofichwa na hayo masaburi na pia kile kinachotokaga humo ndani in form of gas & solid as well, vyote vinatumika kutengeneza fikra zako.

Safi, tena wangemleta huku Oysterbay kuna chumba cha kufanyia mahojiano kina muda mrefu sana hakijatumika.

Ecoli, when it's mentioned that Nanyaro was also interogated by officers from HQ then take it into your mind that it was the 'allowances' in their minds. And unfortunately what get to be written in their books of accounts is a suprise. So such interogators does'nt have anything potential aside prologing their interogation to justify their allowance day, and which is why Nanyaro alijidhamini alijidhamini mwenyewe.
And for your information, mapolisi hao unaowasema wa Oysterbay ungejua wasivyoitaka serikali ya sasa, wanaombea tu yatokee ya Libya ndo muone. Uchaguzi wa 2010 ni ishara tosha, diwani wa Oysterbay unamjua? Uliza! Na mbunge wa jimbo hilo nafikiri unamjua - mama A. Makinda ni rafiki yake saaaana.
Anza kijifua ecoli saa ya ukombozi yaja.

Nyie endeleeni kumdanganya mfalme juha kuwa amevaa nguo kumbe yuko uchi eti si watanzania si waislamu,

hata huyu alikuwa anadanganywa hivihivi na kina Uday na Qusay.

Hawa wanatakiwa kufanyiwa hivi ndio TZ itakaa mahali pake na kujikomboa kwenye ufisadi
1. Kikwete
2. Lowasa
3. Chenge
4. Rostam

Nyie CDM tofauti sana na Misri au Tunisia na Libya, nyie ni Wakiristo, Misri, Tunisia, Libya, Yemeni, Syria, ni Waislam, wenzenu hawaogopi kufa, nyie CDM ni Wakiristo safi mnaogopa kufa.
Umeona tofauti ilivyokuwa kubwa!

Mungu ana watu wengi sana

sasa hizo ni siasa chafu. Nanyaro atamuua meya saa ngapi na kwa nini. Meya mwenyewe ni mwoga na mzushi, anaeneza propaganda za siasa za maji taka, aache woga

Back
Top Bottom