Nanyaro ahojiwa kwa saa kadhaa na polisi Arusha

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Wanajamvi,

Nanyaro ambaye ni Mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Arusha,na mwenyekiti wa wilaya,pia ni diwani wa Levolosi,amehojiwa kwa saa kadhaa,kwa tuhuma za kuhusika na njama za kutaka kumwua meya mwenye utata wa jij la Arusha.

Habari kutoka ndani ya polisi zinasema kuwa alihojiwa na maofisa kutoka dar,siku ya jumatano kuanzia saa nane mchana hadi usiku wa manane,na kuachia kwa kujidhamini,na ametakiwa kuendelea kuripoti polisi kwa wiki nzima

Source: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - Mwanzo
 
Mazingaombwe ya polisi nchini tanzania hayawezi kuisha kwa siku za hivi karibuni tena tukiwa na serikali ya magmba.
Sitoshangaa hao polisi wakitoka na statement kwamba chadema ndo wanaandaa mpango wa kumuua meya fake wa arusha.
 
Safi, tena wangemleta huku Oysterbay kuna chumba cha kufanyia mahojiano kina muda mrefu sana hakijatumika.
 
Nanyoro ni memba hapa angetupa ufafanuzi ili tusikie kutoka kwake mwenyewe kisha tujadili.
 
Safi, tena wangemleta huku Oysterbay kuna chumba cha kufanyia mahojiano kina muda mrefu sana hakijatumika.

tambua kwamba haki haijawahi kushindwa hata siku moja mahali popote. unataka nikutukane ili nipigwe ban
 
Hata Misri walikuwa wanahojiwa hivyohivyo, watu kama nyie waliokuwa wanashangilia utawala wa Mubarak na kufikiri wamejificha kwa majina bandia leo wanachambuliwa mmoja baada ya mwingine, uzuri na ubaya wa internet inakudanganya uko peke yako.
 
Serikal zote dhalimu zilishndwa na bado zinaendelea kushndwa. Wanaanza kumtisha diwan.
Nguvu ya umma ni zaid ya nguvu ya polis.
 
Hivi ndege iliyomleta kamanda Mbowe ilisharudi Dar ingetumika kumpeleka Nanyalo manake wamezoea kumuua mbu kwa bunduki!
 
Serikal zote dhalimu zilishndwa na bado zinaendelea kushndwa. Wanaanza kumtisha diwan.
Nguvu ya umma ni zaid ya nguvu ya polis.
Watawala huwa hawajifunzi wanafikiri yanayowatokea wengine hayawezi kuwafika wao, ni mwezi uliopita tu Gaddafi alikuwa analala kwenye jumba la kifahari leo anajificha kama panya na viongozi hawaoni hilo.
 
Kwa kuwa Nanyaro ni member humu, basi nategemea atatufafanulia vizuri.
Kuhusu mpango wa kumuua meya fake, nadhani ni vigumu kulizungumzia maana huyu meya alitangaza kwamba anapata vitisho na hatujui aliyemtisha. Sasa polisi wameamua kumhoji Nanyaro. Angalizo langu tu ni kwamba wamuhoji proffesionaly na wasiingize influence za kisiasa ili haki ya kweli itendeke.
 
Ni huyo Meya majuzi alihojiwa na tbc1 akasema yeye hajatishiwa kuuawa sasa hizi siasa zap polisi zinatoka wapi bandugu au ndio harakati zoo na com kuvuruga cdm hapo Arusha,lakn wajue watashindwa na nguvu ya UMA pamoja na mbinu zao chafu
 
tambua kwamba haki haijawahi kushindwa hata siku moja mahali popote. unataka nikutukane ili nipigwe ban

Lazima pia ujue haki ina pande mbili, hata meya aliyetishiwa kuuwawa ni binadamu na anahaki ya kutendewa haki.

Ni huyo Meya majuzi alihojiwa na tbc1 akasema yeye hajatishiwa kuuawa sasa hizi siasa zap polisi zinatoka wapi bandugu au ndio harakati zoo na com kuvuruga cdm hapo Arusha,lakn wajue watashindwa na nguvu ya UMA pamoja na mbinu zao chafu

Ulitaka aongelee suala linalofanyiwa uchunguzi na polisi?
 
Kwa kuwa Nanyaro ni member humu, basi nategemea atatufafanulia vizuri.<br />
Kuhusu mpango wa kumuua meya fake, nadhani ni vigumu kulizungumzia maana huyu meya alitangaza kwamba anapata vitisho na hatujui aliyemtisha. Sasa polisi wameamua kumhoji Nanyaro. Angalizo langu tu ni kwamba wamuhoji proffesionaly na wasiingize influence za kisiasa ili haki ya kweli itendeke.

Mkuu! Naunga hoja mkono! Hawa polisi cna imani nao hata kidogo.
 
Ni huyo Meya majuzi alihojiwa na tbc1 akasema yeye hajatishiwa kuuawa sasa hizi siasa zap polisi zinatoka wapi bandugu au ndio harakati zoo na com kuvuruga cdm hapo Arusha,lakn wajue watashindwa na nguvu ya UMA pamoja na mbinu zao chafu
Nimenusa sakata hili la Arusha linaweza kutuletea ukombozi maana polisi na serikali wanababaika sana hawako makini.

Libya ilianza Bengazi kama utani, mwezi wa pili wananchi kama 20 walikwenda polisi kudai mwanaharakati wa haki za binadamu aachiwe, polisi wakawatawanya kesho yake wakarudi wamekuwa wengi polisi wakawaua waandamanaji 2, kwenye mazishi wakasema lazima walipize kisasi ukombozi ukaanzia hapo.
 
Hivi Christian Democratic Union(CDU) wana jeshi?
 
Gaddafi offers to negotiate with Libya rebels over transfer of power
guardian.co.uk, Sunday 28 August 2011 11.52 BST
Libyan leader ready to enter talks, his spokesman says, but National Transitional Council insists he must surrender first.

Colonel Muammar Gaddafi has offered to enter negotiations with the Libyan rebels over the formation of a transitional government as loyalist fighters are pushed further to the outskirts of Tripoli and rebel forces prepare for an assault on the ousted dictator's hometown of Sirte.
 
Wosia wangu kwa serikali ya ccm.
Watu watulivu kama Walivyo watz ni hatari kuliko wale wagonvi mfano wa Waarabu! Mtu mtulivu akishasema sasa basi huwa asikilizi hata la mzazi wake!

Tafadhalini sana ccm, acheni kabisa kutumia utulivu wa Watanzania kufanya gilba. hasa kwa kuwa ninyo nyote mna account nje ya nchi na huenda tayari mna uraia wa hizo nchi.
Kama mambo yatatibuka tutawafuata huko hukoo mtakakokimbilia!!!

Wanajamvi
Nanyaro ambaye ni Mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Arusha,na mwenyekiti wa wilaya,pia ni diwani wa Levolosi,amehojiwa kwa saa kadhaa,kwa tuhuma za kuhusika na njama za kutaka kumwua meya mwenye utata wa jij la Arusha.

Habari kutoka ndani ya polisi zinasema kuwa alihojiwa na maofisa kutoka dar,siku ya jumatano kuanzia saa nane mchana hadi usiku wa manane,na kuachia kwa kujidhamini,na ametakiwa kuendelea kuripoti polisi kwa wiki nzima

source CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - Mwanzo
 
Hata Misri walikuwa wanahojiwa hivyohivyo, watu kama nyie waliokuwa wanashangilia utawala wa Mubarak na kufikiri wamejificha kwa majina bandia leo wanachambuliwa mmoja baada ya mwingine, uzuri na ubaya wa internet inakudanganya uko peke yako.
Nyie CDM tofauti sana na Misri au Tunisia na Libya, nyie ni Wakiristo, Misri, Tunisia, Libya, Yemeni, Syria, ni Waislam, wenzenu hawaogopi kufa, nyie CDM ni Wakiristo safi mnaogopa kufa.
Umeona tofauti ilivyokuwa kubwa!
 
Back
Top Bottom