nina stalet namba A 3m tuu
Mkuu mimi nina MITSUBISH L 200 yenye namba A nataka kuiuza kama bado unazitaka.Wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7Mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba B au C au D.
Mwenye gari namba A nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5Milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.
Wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7Mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba B au C au D.
Mwenye gari namba A nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5Milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.