CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
Wakuu nauliza wapi naweza pata Dhahabu kwa bei nzuri ambayo haijawa manufactured?
Nikiwa naana kwamba nataka kujaribu hii biashara.
Mlioko machimboni please msaada.
Unaweza kuniwekea PM ili tulonge fresh.
Serious sellers please!!!!!
Nikiwa naana kwamba nataka kujaribu hii biashara.
Mlioko machimboni please msaada.
Unaweza kuniwekea PM ili tulonge fresh.
Serious sellers please!!!!!