Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Hali ya uume kuwa mdogo ilikuwa inanifanya nijisikie aibu mbele ya wenzangu kiasi cha kuogopa kuogelea nao pamoja ama mara nyingne kuogelea na chupi na kuivaa ikiwa mbichi. Hali hiyo ilinitesa sana kiasi cha kuogopa kuoa kwani nilidhani mke hatanifurahia.
Mkuu Mimi Si daktari na wala sioni sababu ya Kukwambia Pole kwa Sababu naamini Physically huna tatizo, nahisi tatizo lako la zamani la kutojiamini limeanza kukurudia na hii inaweza kusababishwa na kusoma sana kwenye mitandao juu ya size ya Uume kama inahusika sana katika kumridhisha mwanamama. Ukisoma article za mtandaoni unaweza kukutana na zile ambazo zinazungumza negatively kuhusu uume mfupi sasa kama ukiendekeza sana itakupunguzia hali ya kujiamni. Amini wewe aweza mkuu wangu