Nani zaidi?

Nani zaidi?

hahahaha jamaniii, sasa hapo mambo aking'ata hapo inakuwaje? naona kama tembo atashinda but atajeruhiwa sana
 
Ndembu yenyewe mbona mtoto tu huyo? Hapo mamba na domo lake km msumeno atajeruhi tu huo mkonga

Anamvutia kasi tu, atamvua kama perege mtoni, hanaga masihara Tembo aisee. Mamba mwenyewe wa kawaida sana wala siyo wa kushiba.
 
huyo mamba akionekana na yule kigogo wa ccm, atajieleza!!!
 
Back
Top Bottom