Nani zaidi?

Nani zaidi?

Thread kama hizi ni UTANI kuanzia mwanzo hadi mwisho, huna haja ya kuchukia kwa jambo la KIPUUZI kama hili. Sikutegemea uwe na hasira kwa jambo ambalo nimeandika na kuweka alama ya kucheka kuashiria kuwa ni JOKE.

Sipendi Kukwaza akina Mama na inabidi niseme kama limekukwaza, SAMAHANI. Heshima Mbele kama kawaida.
naomba tuheshimiane nina wivu wa maendeleo na sio huo wa kwenye kijiwe cha kahawa,mind your business
 
Kwenye kugombea magari ya Mbagala ningekua natembea nao waniwekee guard mlangoni...
 
Thread kama hizi ni UTANI kuanzia mwanzo hadi mwisho, huna haja ya kuchukia kwa jambo la KIPUUZI kama hili. Sikutegemea uwe na hasira kwa jambo ambalo nimeandika na kuweka alama ya kucheka kuashiria kuwa ni JOKE.

Sipendi Kukwaza akina Mama na inabidi niseme kama limekukwaza, SAMAHANI. Heshima Mbele kama kawaida.

well said,ila matani yana mipaka yake kila mara unaniquote na point yako ni wivu.
 
Hao wote hawana bupa hao, zimepotelea kwenye manyama uzembe.
 
Sasa Asnam, ukija siku moja kupambana na Tundu Lissu wa JF yaani KIRANGA, si ndiyo utarusha matusi?

Please, anza kuzoea mashambulizi na jipe mazoezi ya kusimama na kutetea POINT yako kwenye mijadala na huna haja ya kuchukia au kukimbia. Siku zote ukichukia, ndiyo Mpinzani wako anatumia hasira zako kukumaliza.
Hakuna sehemu nzuri ya kuanza kuzoea na kufanya mazoezi kama hili. Again, pole kwa maneno yangu ambayo nilijua unayachukua ni utani tu.

Anyway, naandika huku naangalia MPIRA. Ngoja nikimbie screen maana huwa mwoga wa kuangalia Penalty: Ghana vs Burkina Faso. Take it easy dada yangu na usijali kabisa niliyoandika. Usije weka kinyongo na mie wakati mie ntakuwa hata sikumbuki. USIKU MWEMA labda kama upo bara la AMERICA

siku zote huwezi kumtania mtu ambae huna mazoea nae, huyo Tundu Lisu unaemsema nitaweza kujibizana endapo nimekusudia kuingia kwenye ulingo wa siasa kwa sababu huko kejeli ni kitu cha kawaida.
NB;siwezi kuwa na kinyongo na ww sababu ya vitu vidogo vidogo kama hivi ila tu nilikua nakukumbusha yanayokupasa kufanya sina panic za kijinga hivo, hata ukikutana nami barabarani usisite kunisalimia.
 
kazi kwenu, msigombane eeeee
 
Back
Top Bottom