Nani zaidi kati ya Wordpress vs Drupal ?

Nani zaidi kati ya Wordpress vs Drupal ?

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Nani zaidi.
wordpress-vs-drupal-comparison-chart.png
 
Nashukuru Mkuu. Naombeni na wengine mje humu jamani nataka kumtumia mtu hizi cooment zenu. Thanks.

nasapoti jibu langu. kwa sababu zifuatazo.

1. frequent updates, inasaidia kuepuka site kuvamiwa.

2. versatile, ni rahisi kuibadili wp kutoka simple blog mpaka ikawa complex social network, shop, chochote unachotaka

3. upatikanaji.wa theme na extension, wp community ina maelefu ya plugins na theme za bure na za kulipia.

4. ni rahisi kutumia, ina interface rahisi ambayo ni customizable.

5. support. wp community ni kubwa , matatizo almost yote unayokumbana nayo yanaweza kupatiwa ufumbuzi online.

6. kuna sababu nyingi tu, ila na wengine watoe michango yao
 
unamanisha nn mkwawa? m2 ambaye amezoea kutumia website builder akipelekwa kenye code anaumbuka vibaya...
m2 wa code hata kwa akina wordpress anakimbiza kwan anajua what happenig behind d scene.
hujui unachokiongea blazaaaa
 
unamanisha nn mkwawa? m2 ambaye amezoea kutumia website builder akipelekwa kenye code anaumbuka vibaya...
m2 wa code hata kwa akina wordpress anakimbiza kwan anajua what happenig behind d scene.

mi sijui kucode na ni mvivu wa kuzisoma, watu wanatengeneza themes na kama alivosema c6 support ipo so sio lazma kila mtu ajue kucode
 
kwenye ulimwengu wa sasa coding website is time consuming,ni mwendo wa kutumia tu frameworks na cms ila haimaanishi kwamba usijue code hata za kuchange chochote unachotaka kwenye page.
 
katika kuishi kwangu kwenye kutengeneza website na application nimejifunza ili kitu chako kiwe kizuri inabidi kiwe na designer + developer.

moja kati ya game la simu linalouza sana linaitwa temple run, sijui waliolitengeneza ni kina nani ila wanahitaji tuzo ya uzembe hili game halina cha zaidi mtu anakimbia unapeleka left, right, up and down na ukikimbia unacollect maksi basi game limeisha. kwenye android, wp (sijui ios) hili game linahitaji 1gb ya ram ili kucheza. game hili hili madeveloper wa kirusi wameliport kwenye simu za java hizi ndogo lina ukubwa chini ya 1mb.

kwa hio hapa tunaona temple run wana madisgner wazuri wa kufanya game lipendwe dunia nzima lakini wana madeveloper wabovu walioshindwa ku optimize code lakini game linauza. so kama hauna ethics na hujali unaweza tengeneza kitu kikubwa tu bila kucode na wala kutumia jitihada kubwa kusoma hizi code
 
watu wengi mnaojifanya mnatengeneza kwa kutumia wordpress / joomla / drupal etc hapa bongo (almost all of you) hamna zaidi mnachofanya zaidi ya kudownload themes za watu wengine na na kuweza content then mnasema eti mna design, c'mon we need to be serious, kama umeamua kudesign iwe professional yako put in some work.

I agree with that guy anayesema kujua kucode is better than using those tools ingawa sikubaliani naye kabisa kwa sababu sometimes to handcode a website could be an overkill, its like unataka kuua mende na nyundo while you have tools like wordpress etc ambazo zinaweza fanya kazi yako kwa urahisi. My advice, learn how to design, then kama unataka kutumia wordpress learn how to use your own theme, usidownload. Mimi ni web developer so i know what i'm talking about, i have used both wordpress, drupal and now i use expressionengine which in my opinion is the best cms out there and i also code when necessary.

To answer your question:- Wordpress vs Drupal, when it comes to power / capability drupal is more powerful than wp however wordpress is easy to use and has a very nice backend but you need to hack it sana ili uweze kuifanya iwe kama full cms, and you can acomplish basic tasks hata kama haujui php sana. Drupa is more of a cms than wp
 
Mkuu,

Ni kweli kuna watu wanadownload themes za watu wengine na kuzicustomize, siyo dhambi na wala haikataliwi na haikuanzia Tanzania ilianzia marekani na marekani ndiyo waliogunduwa internet sasa sijuwi wewe kutoka tz umegunduwa html ?!

ILA MIMI HUWA NAZI-DESIGN MWENYEWE MWANZO MWISHO, KAMA UNATAKA USHAHIDI SEMA.

KUHUSU WORDPRESS VS DRUPAL, Siku zote jibu ni wordpress ndiyo ipo juu, ni ngumu ku-compare wordpress na drupal labda ufanye wordpress vs joomla. Kuna kisa mpaka mimi nikaamua kuleta hii mada hapa.

Mimi kabla ya kujifunza wp kwanza nilijifunza html ila sishauri mtu kupoteza muda kujifunza html kwa sababu hakuna sababu.

Pia kiongozi jitahidi kuongeza idadi ya post maana tangu ujiunge January 2011 una post 12 tu, una likes 1 ambayo nimekupa mimi na wewe ulimpa sijui nani 1 tu. Ni ushauri tu usirushe mawe.

watu wengi mnaojifanya mnatengeneza kwa kutumia wordpress / joomla / drupal etc hapa bongo (almost all of you) hamna zaidi mnachofanya zaidi ya kudownload themes za watu wengine na na kuweza content then mnasema eti mna design, c'mon we need to be serious, kama umeamua kudesign iwe professional yako put in some work.

I agree with that guy anayesema kujua kucode is better than using those tools ingawa sikubaliani naye kabisa kwa sababu sometimes to handcode a website could be an overkill, its like unataka kuua mende na nyundo while you have tools like wordpress etc ambazo zinaweza fanya kazi yako kwa urahisi.

My advice, learn how to design, then kama unataka kutumia wordpress learn how to use your own theme, usidownload. Mimi ni web developer so i know what i'm talking about, i have used both wordpress, drupal and now i use expressionengine which in my opinion is the best cms out there and i also code when necessary.

To answer your question:- Wordpress vs Drupal, when it comes to power / capability drupal is more powerful than wp however wordpress is easy to use and has a very nice backend but you need to hack it sana ili uweze kuifanya iwe kama full cms, and you can acomplish basic tasks hata kama haujui php sana. Drupa is more of a cms than wp
 
mwambie kuchapa code by hand ndo mpango... hizo tools zinalemaza

Mimi nlijisomea html5 na css nlipata shida sana kutengeneza site from scratch now natumia wordpress its better, knowledge ya code inasaidia kama una mambo extra of which most yameshakuwa covered na wengine kwenye community. Kujua code mbwembwe tu labda kama unafanya programming.
 
Wanasema code is POETRY.

uploadfromtaptalk1374185887459.jpg
Customization on the go, sasa kama unachapa code kazi ni kwako
 
hapa mnagombana watu wawili madesigner na madeveloper ubishi huu ni mkubwa kama wa simba na yanga upo kila pande ya dunia na hauishi bora tu muwe na subira kila mtu apotezee.

then nyie mnaocode sisi tunaodesign kuna vitu tunahitaji na sio kufundishwa namna ya kutengeneza site hio ni kazi yetu. tulirequest mfumo wa MPESA mtu atengeneze ili uweze kuunganishwa na website watu waweze kulipia ila mpaka leo naona kimya.
 
Hakuna kitu developers wanajuta kama wakiwa hawajui designing. Designing is very important hata kama you are a java/php/ruby developer, if you need to make a good software lazima ujue how to design first otherwise itabidi utafute mtu wa design umlipe (shida sasa designers ndio hawa)
 
na design sio kujua design ni kipaji. unaweza jua tumia software zote na output yako ikawa mbovu. na mwengine hata mouse hajui kushika lakini akimwelekeza tu mtu anatoa kitu kizuri.

kwa experience yangu madeveloper wengi sio madesigner na developer anapoingia kwenye ubishi huu basi anataka na yeye kudesign mwenyewe (sababu ame ignore kazi ya designer) hii inasababisha muonekano wa kazi ya developer kuwa sio mzuri na kazi yake kutofanikiwa. na designer naye anapopata kichwa anataka adevelop wakati si kazi yake mwisho wa siku anatoa kitu na bugs kibao

nenda store za app store, play store na wp store angalia vitu kama temple run game bovu zaidi kupata kutokea (kicode) lakini linapendwa dunia nzima.
 
Back
Top Bottom