Nani zaidi hapa!

luckyperc

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
495
46
Vasco-da-gama.jpg
Gama_route.png

View attachment 35135
 
wa kwanza ndiye vascodagama
alipata tabu nyingi sana
alizunguka africa nzima
na kwenda zake ulaya.

sasa tufurahie,
tumempata mkombozi,
tena yeye ni mtanzania.
jina lake ni Nyerere.

wale tuliosoma mwaka 47 watanisahihisha hako kawimbo.
 
Jk yupo juu zaidi, ila kama akienda washington akakutana na maandamano yaliyo andaliwa, na mabango yenye ujumbe mzito, safari zake zitapungua. Kama ataendelea na safari basi hana mshipa wa aibu
 
Mmoja anatafuta wawekezaji na mwingine anawekeza mwenyewe.mmoja Anasafiri kwa ndege mwingine anasafiri kwa meli,mmoja ana midevu mwinngine haana.mmoja amechaguliwa kuwa kiongozi mwingine anajiongoza mwenyewe anajichagulia mwenyewe.mmoja ni docta mwingine ni mvumbuzi.ndiye anayeifanya afrika ya kusini leo hii inaongoza kiuchumi barani afrika na mwingine ndiye anayeIfanya tanzania iwe ya mwisho barani afrika
 
Hahahaaaa nimependa sana huu ulinganifu. hasa hapo penye red
 
Mmoja anatafuta wawekezaji na mwingine anawekeza mwenyewe.mmoja Anasafiri kwa ndege mwingine anasafiri kwa meli,mmoja ana midevu mwinngine haana.mmoja amechaguliwa kuwa kiongozi mwingine anajiongoza mwenyewe anajichagulia mwenyewe.mmoja ni docta mwingine ni mvumbuzi.ndiye anayeifanya afrika ya kusini leo hii inaongoza kiuchumi barani afrika na mwingine ndiye anayeIfanya tanzania iwe ya mwisho barani afrika

:clap2:DUNIANI
 
mmoja anatafuta wawekezaji na mwingine anawekeza mwenyewe.mmoja anasafiri kwa ndege mwingine anasafiri kwa meli,mmoja ana midevu mwinngine haana.mmoja amechaguliwa kuwa kiongozi mwingine anajiongoza mwenyewe anajichagulia mwenyewe.mmoja ni docta mwingine ni mvumbuzi.ndiye anayeifanya afrika ya kusini leo hii inaongoza kiuchumi barani afrika na mwingine ndiye anayeifanya tanzania iwe ya mwisho barani afrika

:clap2:duniani

:A S thumbs_down:africa ya mashariki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom