Nani yupo 'nyuma' ya mashitaka dhidi ya Makonda?

Document hiyo hapo waisome.
Mimi nilidhani Kubenea (mtu wa dili) huyu ndie alisema atawaonyesha Saanane alipo angewastaki waliommwagia tindikali, kama si usukununu wa upigaji dili nini basi wahusika wenyewe hawajashtaki lakini yeye ambaye hahusiki anashtaki,hizi ndio zile pilipili usizozila za kuwashia nini? tumefika mahala sasa watu kwa ajili ya husuda zao wanaanza kutaka kuwakomoa wale waliokuwa hawawapendi kwa kuwa walikuwa wanawazuia kufanya mambo yao ya hovyo,huyu Kubenea nae ana mawaa kibao ndio maana hata akina Ulimwengu walimtimua kwenye gazeti lao la RAI
 
Bashite anaandamwa na wengi,kuna dogo wa Kigamboni mama umemnyang'anya uwaziri lakini naskia anasumbua balaa huko mtaani.

Kuna kakikundi kakaunda na mkakati unasukwa kwa umakini sana katika maeneo ya Pembamnazi ambako kajichotea hekari 200 pale Amadori..

Bashite Fanya haraka umfyatue mtu ugoko maana najua Mama yuko nyuma yako japo waliomzunguka hawakutaki kabisaaaa!

Be careful kuna jamaa anaweza kuzaa na wewe wakati wowote hapo Mwanza hasa kwenye vyakula watasingizia umejiua..

Rudi Dar haraka sana mtafute yule jamaa wa... Kisha nenda Kigamboni pale kona pale karibu na NMB mbele tega makombora kisha nenda Mikadi ndani kidogo kaoge kimbia haraka Amadori weka mguu.

Ukirudi Dar ntaktafta mdogo wangu, huyu aliyefungua kesi alifundisha tuition pale Mapambano mwenge akifundisha somo la History mezani namjua A-Z ni mwanasheria wa CDM, hana lolote sema walioko nyuma yake ni wengi wakiwemo mawakili kibao.

Mkwaju wako tembea nao karibu najua kitawaka punde si punde, linalokuwa na liwe lazima huyu dogo tule minofu tu...

Kugombea Ubunge pale KGMN kuna kukost maana Msoga alitoa...uanguke..na msibani kwa baba yake na Mtumbuliwaji kule nyuma palifanyika kafara la hatari..

Nchi itavurugika MAMA watch it!
.andika kwa kiswahili....ngosha..
Wakati ukuta....
 
Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.

Japo CMG wamekanusha hawahusiki, yaani ni kama wamejitoa [wamenawa] kishkaji.

Inasemekana 'mainjinia' wakuu wapo Mtama na Bumbuli. Japo Bibie amejitahidi sana kumkingia kifua mtoto pendwa, lakini imebidi liachwe mikononi mwa Mawakili Wasomi wanaoitwa wa kujitegemea.

Wanene wengi wa mfumo wapo upande wa mawakili hao, ni vile tu hawataki kumfunga paka kengele hadharani. Wameshika kamba kwa umbali mrefu kidogo huku wakisubiria ONE, TWO, THREE wamtose kwenye kina.

Dah! Haya maisha haya. Akiba ya wema kwa MAMA ndo kitu pekee kitamwokoa kijana huyu.

Je, GSM atakaa kimya? Au naye ataungana na mawakili kushuhudia alivyoporwa 'Kasri' kule Kigamboni kwa kutapeliwa kuwa anamjengea Mzee Baba!

Ngoja inyeshe tuone panapovuja, tutarudi.

Ncha Kali.
Na yule aliyekutana watu wanaoongea kireno wakatelekeza surf anasemaje
 
Bashite anaandamwa na wengi,kuna dogo wa Kigamboni mama umemnyang'anya uwaziri lakini naskia anasumbua balaa huko mtaani.

Kuna kakikundi kakaunda na mkakati unasukwa kwa umakini sana katika maeneo ya Pembamnazi ambako kajichotea hekari 200 pale Amadori..

Bashite Fanya haraka umfyatue mtu ugoko maana najua Mama yuko nyuma yako japo waliomzunguka hawakutaki kabisaaaa!

Be careful kuna jamaa anaweza kuzaa na wewe wakati wowote hapo Mwanza hasa kwenye vyakula watasingizia umejiua..

Rudi Dar haraka sana mtafute yule jamaa wa... Kisha nenda Kigamboni pale kona pale karibu na NMB mbele tega makombora kisha nenda Mikadi ndani kidogo kaoge kimbia haraka Amadori weka mguu.

Ukirudi Dar ntaktafta mdogo wangu, huyu aliyefungua kesi alifundisha tuition pale Mapambano mwenge akifundisha somo la History mezani namjua A-Z ni mwanasheria wa CDM, hana lolote sema walioko nyuma yake ni wengi wakiwemo mawakili kibao.

Mkwaju wako tembea nao karibu najua kitawaka punde si punde, linalokuwa na liwe lazima huyu dogo tule minofu tu...

Kugombea Ubunge pale KGMN kuna kukost maana Msoga alitoa...uanguke..na msibani kwa baba yake na Mtumbuliwaji kule nyuma palifanyika kafara la hatari..

Nchi itavurugika MAMA watch it!
unamshauri mtu ambaye kwa sasa ni very weak interms of strength. anaishi kwa kutegemea huruma ya mama samia.

hana yale mabavu na ile jeuri yake aliyokuwanayo wakati wa utawala wa jiwe.

bashite kwa sasa anaishi kwa uoga sana. huko aliko hata akisikia kishindo cha jiwe juu ya bati anatetemeka.

huyu ndio bashite wa sasa
giphy.gif
 
Kwahiyo Kosa la Makonda Lilikuwa ni Ku deal Na Wauza Madawa Ya Kulevya? What If Makonda Ana All Evidences, kwasababu Hata RAIS alimsupport Hadharani

Wanatumia Mgongo Wa Cloud Media Group, na Clouds Media Group Na Makonda Walisha Yamaliza nje ya Mahakama. Nani Atasimama Kutoa Ushahidi kutoka Clouds Media Group?

Tuseme Kufungwa Kwa SABAYA kumeruhusu VIONGOZI WOTE WASTAAFU KUSHTAKIWA? Kama ni Hivyo Basi Tuanzie Kipindi Cha Mwinyi,
Umeongea km Bashite mwenyewe
 
Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media
Kiukweli hakuna kesi yoyote, ni upotoshaji tuu wa Gazeti la Raia Mwema, ukweli ni huu
Wanabodi, naomba niendelee kuwahakikishia, hata hili linalosemwa semwa kumhusu mtu huyu, kufunguliwa mashitaka, na kufikishwa mahakamani Desemba 3, ni uongo tuu, hayo mashitaka ni mashitaka ya upepo tuu, na na yatapita tuu kama upepo, hakuna lolote la maana wala hakuna chochote kwenye mashitaka hayo, ni wanasheria tuu wamekutana na kichaa mmoja, pesa za pensheni ya ubunge zinamuwashawasha, wakaamua wazile, na watazitafuna kweli kweli!. Hivyo wale wanaosubiri kinachosemwa kitokee, naomba kuwahakikishia, watasubiri sana, hakuna kitu pale!.
P
Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda!

Paul Christian Makonda hajashitakiwa kama inavyopotoshwa na wengi kwenye magazeti na mitandaoni.

Huko aliko yuko zake huru anakula vya nchi bila bughudha ya yeyote.

Kilichotokea ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Ubungo SAED AHMED KUBENEA amefungua maombi mahakama ya wilaya Kinondoni akiomba aruhusiwe yeye binafsi kumshitaki Makonda kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Maombi haya kisheria hufanyika chini ya kifungu no. 99 (1) na (2) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai Tanzania.
Kwa mujibu wa kifungu hiki, kwa mtu yeyote binafsi akiwa na Imani kwamba fulani ametenda kosa la jinai na hajashitakiwa basi yeye binafsi anaruhusiwa kumshitaki huyo fulani kwa kufuata utaratibu huo ambao kisheria tunaita "Private Prosecutions".

Maombi haya kama maombi mengine, yanaweza kukubaliwa au kukataliwa na mahakama kutegemea na hoja zitakazotumika na mwombaji kuishawishi mahakama imuamini kuvaa viatu vya Dpp ambaye kimsingi ndiye mwenye mamlaka ya kushtaki kwa niaba ya Jamhuri.

Kimsingi katika maombi haya mwombaji hulazimika kumuunganisha Dpp kama mujibu maombi ili apate nafasi ya kueleza aidha kukubali au kutokukubali maombi hayo kwa sababu atakazozitoa.
Lakini pia unaweza kumuunganisha DCI ambaye ndiye kimsingi mwenye mamlaka ya kupeleleza makosa ya jinai nchini, naye aje aeleze kama anaridhika na maombi yako hayo.
Kwa maana ufupi ni kwamba kwa kuwa DCI yeye hajaona jinai na DPP naye hajaona haja ya kufungua mashtaka dhidi ya mshtakiwa mtarajiwa unaweza kuona ugumu wa hizi mamlaka mbili kukubali maombi haya kwa nafasi zao.
Lakini pia inaweza ikawa ndivyo njia rahisi kumshitaki Makonda kwa kuwa ikumbukwe huyu DCI wa Sasa Ashafanya kazi chini ya Makonda, ni namaanisha wanajuana vizuri na pengine ni maswahiba, kwa hiyo DCI kama alikuwa anamuonea haya swahiba basi Sasa ameshapata pa kujificha kwamba mashtaka hayakufanywa na yeye bali na mtu binafsi.
SASA kwa wana Habari tuhabarishane Habari sahihi, ebu angalia hicho kichwa cha Habari hapo juu,.... "YAMETIMIA", yametimia manini, watanzania wengi husoma magazeti kwa kutazama tu vichwa vya Habari, hapo umeshampotosha.
Habari ndogo inasema eti.. "kesi kuanza kusikilizwa Dec 3", uongo mtupu, hakuna kesi, hicho kinachokwenda kusikilizwa hiyo tarehe 3 December ni maombi ya KUBENEA kama nilivyoeleza hapo juu yaliyosajiliwa kama Maombi ya Jinai no. 7 ya mwaka 2021, na maombi ya namna hii yanaendeshwa kwa mfumo wa madai, hakuna Polisi wala mgambo hapo!View attachment 2025282
Mkuu Makonyeza , asante sana kwa bandiko hili. Kiukweli baadhi ya wetu wana ushetani wa ajabu, watu wamehamanika binadamu wenzetu wanapopata matatizo, wanashangilia afikishwe kwa Pilato.

Kitu cha ajabu sana kuhusu gazeti la Raia Mwema, Mwenyekiti wa bodi ya uhariri ni mwanasheria, hivyo anaelewa kila kitu lakini sijui kwa nini anaacha gazeti lake lipotoshe!.

Kuna jinai za aina mbili,
1. Public criminal liabilities, kufanya jinai ya umma, ambazo lazima ziwe prosecuted na public prosecutor.
2. Kuna jinai za Private, or personal criminal liabilities, hizi ni jinai binafsi, kama wizi, kubakwa, kuvamiwa, personal injury, criminal trespass etc, hizi hatua ya kwanza ni kwa mtendewa kulalamika kwa kwenda kuripoti polisi na kufunguliwa RB.

Mwanamke akibakwa, asiposhitaki kwamba amebakwa, then atahesabika ameridhia, unless she is a minor.

Kitendo alichofanya Makonda kuvamia CMG ni criminal trespass, ili iwe ni jinai ilibidi Clouds wakaripoti polisi, walalamike. Ni jukumu la ofisi ya DPP kushughulikia malalamiko hayo na kuyafanyia uchunguzi.

Lakini kwa uvamizi ule, Clouds TV hajalalamika popote, hajaripoti polisi wala kufungua mashitaka yoyote.

Iwapo Clouds wangeripoti polisi na kupewa RB, kisha polisi na DPP wakaona hakuna jinai, then Clouds ndio wakaamua kumuajiri a private prosecutor, na kumfuata Kubenea, then hapo ndipo Kubenea angekuwa na locus stand to apply to institute a private criminal investigation na kuleta private criminal case against Makonda.

Ili mtu uwe ni private investigator lazima utumwe na kuajiriwa kama wafanyavyo kwa mawakili. Sasa kwenye hili la Kubenea, katumwa na nani?.

Kama Kubenea ni raia mwema wa JMT, na ameona jinai imetendeka na serikali imeshindwa kuchukua hatua, Kubenea would have made a lot of sense kama ange launched a private prosecution kwa niaba ya Shambulio la Lissu.

Watu wamehamanika bure, hakuna lolote la maana kwenye shauri hili, linapigwa chini day one ya kusikilizwa!.
Hivyo hoja zangu kwenye bandiko hili Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. bado ziko valid and still stands.

P
 
Neno la nabii Yeremia limetimia,musiba chali, Sabaya chali, polepole bashiru nkamia kessy hepi byakanwa mnyeti gambo muro chalamila , wasiojulikana na vimalaika vyake vyoote chali.

3014662_tapatalk_1574003001155.gif

Screenshot_20211128_062054.jpg
 
Kuna baadhi ya majina kama yangehusishwa na hiyo kesi ingeleta matumaini, lakini hayo uliyoandika hapo juu hayana maana.

1. Cloudz Media.
2. Mo.
3.Ben Saanane (kama angekuwepo)
4. Ruge (kama angekuwepo).
5. Lissu
Na babu yetu Warioba alimfanyia Nini? Ubabe unazaa ubabe ndugu.
 
Mama ni mpitaji 2025 atokuwepo so bure tu hata kama atamkingia,ajae atacheza nae.
Mtama alitolewa bastola na mlinzi wa bashite aitwae sniper 007 instagram au kwa jina halisi ni Henry Kisanduku akiwa pia mmoja wa kikosi cha wasiojulikana akiwa mtiifu kwa bashite na ndie aliyeshiriki kumteka Roma Mkatoliki kwa amri ya bashite na kumtupa ununio baada ya mateso na kipigo kikali zama zile Mungu alipotuacha.
Hawa Wana hatia za damu za watz.

View attachment 2025170

View attachment 2025171

View attachment 2025172

View attachment 2025173
Huyu jamaa alieonyesha bastora mi naona awe wa Kwanza kufungwa
 
Kiukweli hakuna kesi yoyote, ni upotoshaji tuu wa Gazeti la Raia Mwema, ukweli ni huu

Mkuu Makonyeza , asante sana kwa bandiko hili. Kiukweli baadhi ya wetu wana ushetani wa ajabu, watu wamehamanika binadamu wenzetu wanapopata matatizo, wanashangilia afikishwe kwa Pilato.

Kitu cha ajabu sana kuhusu gazeti la Raia Mwema, Mwenyekiti wa bodi ya uhariri ni mwanasheria, hivyo anaelewa kila kitu lakini sijui kwa nini anaacha gazeti lake lipotoshe!.

Kuna jinai za aina mbili,
1. Public criminal liabilities, kufanya jinai ya umma, ambazo lazima ziwe prosecuted na public prosecutor.
2. Kuna jinai za Private, or personal criminal liabilities, hizi ni jinai binafsi, kama wizi, kubakwa, kuvamiwa, personal injury, criminal trespass etc, hizi hatua ya kwanza ni kwa mtendewa kulalamika kwa kwenda kuripoti polisi na kufunguliwa RB.

Mwanamke akibakwa, asiposhitaki kwamba amebakwa, then atahesabika ameridhia, unless she is a minor.

Kitendo alichofanya Makonda kuvamia CMG ni criminal trespass, ili iwe ni jinai ilibidi Clouds wakaripoti polisi, walalamike. Ni jukumu la ofisi ya DPP kushughulikia malalamiko hayo na kuyafanyia uchunguzi.

Lakini kwa uvamizi ule, Clouds TV hajalalamika popote, hajaripoti polisi wala kufungua mashitaka yoyote.

Iwapo Clouds wangeripoti polisi na kupewa RB, kisha polisi na DPP wakaona hakuna jinai, then Clouds ndio wakaamua kumuajiri a private prosecutor, na kumfuata Kubenea, then hapo ndipo Kubenea angekuwa na locus stand to apply to institute a private criminal investigation na kuleta private criminal case against Makonda.

Ili mtu uwe ni private investigator lazima utumwe na kuajiriwa kama wafanyavyo kwa mawakili. Sasa kwenye hili la Kubenea, katumwa na nani?.

Kama Kubenea ni raia mwema wa JMT, na ameona jinai imetendeka na serikali imeshindwa kuchukua hatua, Kubenea would have made a lot of sense kama ange launched a private prosecution kwa niaba ya Shambulio la Lissu.

Watu wamehamanika bure, hakuna lolote la maana kwenye shauri hili, linapigwa chini day one ya kusikilizwa!.
Hivyo hoja zangu kwenye bandiko hili Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. bado ziko valid and still stands.

P
Asante kwa maelezo marefu. Ni suala la muda tu kwa Makonda kushtakiwa kwa makosa ya uvamizi, utekaji, wizi na mengine mengi.

Tusilipuuze gazeti la Raia Mwema kwa kuwa linaikumbusha Serikali kuwa Makonda lazima ashtakiwe ili kulinda hadhi ya utawala bora na madaraka.

Asiposhtakiwa mwaka huu, atashtakiwa mwaka 2025 au 2030 wakati Rais SSH hayupo. Maovu ya Makonda ni mengi kuliko ya Sabaya
 
Kwahiyo Kosa la Makonda Lilikuwa ni Ku deal Na Wauza Madawa Ya Kulevya? What If Makonda Ana All Evidences, kwasababu Hata RAIS alimsupport Hadharani

Wanatumia Mgongo Wa Cloud Media Group, na Clouds Media Group Na Makonda Walisha Yamaliza nje ya Mahakama. Nani Atasimama Kutoa Ushahidi kutoka Clouds Media Group?

Tuseme Kufungwa Kwa SABAYA kumeruhusu VIONGOZI WOTE WASTAAFU KUSHTAKIWA? Kama ni Hivyo Basi Tuanzie Kipindi Cha Mwinyi,
Wao wamechagua kipindi Cha magufuri
 
Back
Top Bottom