Nani yupo 'nyuma' ya mashitaka dhidi ya Makonda?

Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.

Japo CMG wamekanusha hawahusiki, yaani ni kama wamejitoa [wamenawa] kishkaji.

Inasemekana 'mainjinia' wakuu wapo Mtama na Bumbuli. Japo Bibie amejitahidi sana kumkingia kifua mtoto pendwa, lakini imebidi liachwe mikononi mwa Mawakili Wasomi wanaoitwa wa kujitegemea.

Wanene wengi wa mfumo wapo upande wa mawakili hao, ni vile tu hawataki kumfunga paka kengele hadharani. Wameshika kamba kwa umbali mrefu kidogo huku wakisubiria ONE, TWO, THREE wamtose kwenye kina.

Dah! Haya maisha haya. Akiba ya wema kwa MAMA ndo kitu pekee kitamwokoa kijana huyu.

Je, GSM atakaa kimya? Au naye ataungana na mawakili kushuhudia alivyoporwa 'Kasri' kule Kigamboni kwa kutapeliwa kuwa anamjengea Mzee Baba!

Ngoja inyeshe tuone panapovuja, tutarudi.

Ncha Kali.
Kwa kuwa mshtaki ni Kubenea ninaamini ni mashtaka ya kisiasa tu!
 
Hayawezi kuwa ya kisiasa, hii ni serious business. Na hata kama kuna watu wanamkungua kifua Serikalini ila hii ndiyo njia salama ya wao kuondokana na lawama. Bashite lazima akamuliwe zile hips mpaka tujuwe jinsia yake halisi
 
ile applciation imekosea kuanzia jurat, hadi kwenye proposed charge. Hekima alitakiwa kuwa makini kwasababu kwa nyaraka zile tu ameonyesha yeye sio mwanasheria mzuri kwenye criminal.
 
Bashite anaandamwa na wengi,kuna dogo wa Kigamboni mama umemnyang'anya uwaziri lakini naskia anasumbua balaa huko mtaani.

Kuna kakikundi kakaunda na mkakati unasukwa kwa umakini sana katika maeneo ya Pembamnazi ambako kajichotea hekari 200 pale Amadori..

Bashite Fanya haraka umfyatue mtu ugoko maana najua Mama yuko nyuma yako japo waliomzunguka hawakutaki kabisaaaa!

Be careful kuna jamaa anaweza kuzaa na wewe wakati wowote hapo Mwanza hasa kwenye vyakula watasingizia umejiua..

Rudi Dar haraka sana mtafute yule jamaa wa... Kisha nenda Kigamboni pale kona pale karibu na NMB mbele tega makombora kisha nenda Mikadi ndani kidogo kaoge kimbia haraka Amadori weka mguu.

Ukirudi Dar ntaktafta mdogo wangu, huyu aliyefungua kesi alifundisha tuition pale Mapambano mwenge akifundisha somo la History mezani namjua A-Z ni mwanasheria wa CDM, hana lolote sema walioko nyuma yake ni wengi wakiwemo mawakili kibao.

Mkwaju wako tembea nao karibu najua kitawaka punde si punde, linalokuwa na liwe lazima huyu dogo tule minofu tu...

Kugombea Ubunge pale KGMN kuna kukost maana Msoga alitoa...uanguke..na msibani kwa baba yake na Mtumbuliwaji kule nyuma palifanyika kafara la hatari..

Nchi itavurugika MAMA watch it!
 
Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.

Japo CMG wamekanusha hawahusiki, yaani ni kama wamejitoa [wamenawa] kishkaji.

Inasemekana 'mainjinia' wakuu wapo Mtama na Bumbuli. Japo Bibie amejitahidi sana kumkingia kifua mtoto pendwa, lakini imebidi liachwe mikononi

Ncha Kali.
Hii kesi kama ni kweli itadhihirisha zama za fisadi wasioshikika kurejea. Kuna wanasheria waliyozoea kufanya biashara kuuza haki kwa upande mmoja na upande mwingine fisadi waliyokua wateja wa kununua haki.

Yote ni kutaka kulipiza kisasi wauza madawa ya kulevya kwa kuvurugwa biashara yao na makonda. Kwa desturi wafanya biashara ya kulevya kuadhibu kikatili ili kutoa onyo na kutia hofu yeyote anayekua kikwaxo au kuwasaliti.
Yetu macho ngoja tuone.
 
Hakuna kesi hapo usishangae amejipeleka mwenyewe polisi si mchezo kama unakua hutajiki jina lako. Amezoea vyombo vyote vya habari asubuhi vinamuandika.

Kiki tu hiyo akishuka kizimbani samia anamteua. Alikua anafichua jina .
 
Kwahiyo Kosa la Makonda Lilikuwa ni Ku deal Na Wauza Madawa Ya Kulevya? What If Makonda Ana All Evidences, kwasababu Hata RAIS alimsupport Hadharani

Wanatumia Mgongo Wa Cloud Media Group, na Clouds Media Group Na Makonda Walisha Yamaliza nje ya Mahakama. Nani Atasimama Kutoa Ushahidi kutoka Clouds Media Group?

Tuseme Kufungwa Kwa SABAYA kumeruhusu VIONGOZI WOTE WASTAAFU KUSHTAKIWA? Kama ni Hivyo Basi Tuanzie Kipindi Cha Mwinyi,
 
Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.

Japo CMG wamekanusha hawahusiki, yaani ni kama wamejitoa [wamenawa] kishkaji.

Inasemekana 'mainjinia' wakuu wapo Mtama na Bumbuli. Japo Bibie amejitahidi sana kumkingia kifua mtoto pendwa, lakini imebidi liachwe mikononi mwa Mawakili Wasomi wanaoitwa wa kujitegemea.

Wanene wengi wa mfumo wapo upande wa mawakili hao, ni vile tu hawataki kumfunga paka kengele hadharani. Wameshika kamba kwa umbali mrefu kidogo huku wakisubiria ONE, TWO, THREE wamtose kwenye kina.

Dah! Haya maisha haya. Akiba ya wema kwa MAMA ndo kitu pekee kitamwokoa kijana huyu.

Je, GSM atakaa kimya? Au naye ataungana na mawakili kushuhudia alivyoporwa 'Kasri' kule Kigamboni kwa kutapeliwa kuwa anamjengea Mzee Baba!

Ngoja inyeshe tuone panapovuja, tutarudi.

Ncha Kali.
Mapusha wamevimbishwa kifua na rais sasa wanataka kumkomesha makonda,sema kwa ili wata dunda vibaya
 
Hayawezi kuwa ya kisiasa, hii ni serious business. Na hata kama kuna watu wanamkungua kifua Serikalini ila hii ndiyo njia salama ya wao kuondokana na lawama. Bashite lazima akamuliwe zile hips mpaka tujuwe jinsia yake halisi

Kwahiyo Kosa la Makonda Lilikuwa ni Ku deal Na Wauza Madawa Ya Kulevya? What If Makonda Ana All Evidences, kwasababu Hata RAIS alimsupport Hadharani

Wanatumia Mgongo Wa Cloud Media Group, na Clouds Media Group Na Makonda Walisha Yamaliza nje ya Mahakama. Nani Atasimama Kutoa Ushahidi kutoka Clouds Media Group?

Tuseme Kufungwa Kwa SABAYA kumeruhusu VIONGOZI WOTE WASTAAFU KUSHTAKIWA? Kama ni Hivyo Basi Tuanzie Kipindi Cha Mwinyi,

Ni wapi imetajwa madawa ya kulevya?
 
Mama ni mpitaji 2025 atokuwepo so bure tu hata kama atamkingia,ajae atacheza nae.
Mtama alitolewa bastola na mlinzi wa bashite aitwae sniper 007 instagram au kwa jina halisi ni Henry Kisanduku akiwa pia mmoja wa kikosi cha wasiojulikana akiwa mtiifu kwa bashite na ndie aliyeshiriki kumteka Roma Mkatoliki kwa amri ya bashite na kumtupa ununio baada ya mateso na kipigo kikali zama zile Mungu alipotuacha.
Hawa Wana hatia za damu za watz.

View attachment 2025170

View attachment 2025171

View attachment 2025172

View attachment 2025173
Unavoandika kama vile ulikuwepo kwenye matukio hayo.. ushahidi wenyewe ndo hizo picha?
 
Back
Top Bottom