Nani yupo 'nyuma' ya mashitaka dhidi ya Makonda?

Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.

Japo CMG wamekanusha hawahusiki, yaani ni kama wamejitoa [wamenawa] kishkaji.

Inasemekana 'mainjinia' wakuu wapo Mtama na Bumbuli. Japo Bibie amejitahidi sana kumkingia kifua mtoto pendwa, lakini imebidi liachwe mikononi mwa Mawakili Wasomi wanaoitwa wa kujitegemea.

Wanene wengi wa mfumo wapo upande wa mawakili hao, ni vile tu hawataki kumfunga paka kengele hadharani. Wameshika kamba kwa umbali mrefu kidogo huku wakisubiria ONE, TWO, THREE wamtose kwenye kina.

Dah! Haya maisha haya. Akiba ya wema kwa MAMA ndo kitu pekee kitamwokoa kijana huyu.

Je, GSM atakaa kimya? Au naye ataungana na mawakili kushuhudia alivyoporwa 'Kasri' kule Kigamboni kwa kutapeliwa kuwa anamjengea Mzee Baba!

Ngoja inyeshe tuone panapovuja, tutarudi.

Ncha Kali.
Tenda wema nenda zako usingoje shukurani
 
Mapusha wamevimbishwa kifua na rais sasa wanataka kumkomesha makonda,sema kwa ili wata dunda vibaya
Mkuu nafikiri serikali imejikwaa kidogo katika kuruhusu " private prosecution" kwani hapo advantage inakuwa kwa prosecutor. DPP angeenda mahakamani ni kuomba aiendeshe yeye kwa kutumia ushahidi wa " private prosecutor ". Kisheria anaruhusiwa. Najiuliza kwa nini serikali imekubali kukaa pembeni? Labda kuna sababu ya msingi.
 
Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.

Japo CMG wamekanusha hawahusiki, yaani ni kama wamejitoa [wamenawa] kiaina [kimtindo].

Inasemekana 'mainjinia' wakuu wapo Mtama na Bumbuli. Japo Bibie amejitahidi sana kumkingia kifua mtoto pendwa, lakini imebidi liachwe mikononi mwa Mawakili Wasomi wanaoitwa wa kujitegemea.

Wanene wengi wa mfumo wapo upande wa mawakili hao, ni vile tu hawataki kumfunga paka kengele hadharani. Wameshika kamba kwa umbali mrefu kidogo huku wakisubiria ONE, TWO, THREE wamtose kwenye kina.

Dah! Haya maisha haya. Akiba ya wema kwa MAMA ndo kitu pekee kitamwokoa kijana huyu.

Je, GSM atakaa kimya? Au naye ataungana na mawakili kushuhudia alivyoporwa 'Kasri' kule Kigamboni kwa kutapeliwa kuwa anamjengea Mzee Baba!

Ngoja inyeshe tuone panapovuja, tutarudi.

Ncha Kali.
Upepo utajulikana kama ni kwa kusi ama wa kisulisuli hiyo 3rd December kwamba je Jamhuri itachagua kuwa upande upi wa kesi, Mashitaka ama Utetezi, stay turned...
 
Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.

Japo CMG wamekanusha hawahusiki, yaani ni kama wamejitoa [wamenawa] kiaina [kimtindo].

Inasemekana 'mainjinia' wakuu wapo Mtama na Bumbuli. Japo Bibie amejitahidi sana kumkingia kifua mtoto pendwa, lakini imebidi liachwe mikononi mwa Mawakili Wasomi wanaoitwa wa kujitegemea.

Wanene wengi wa mfumo wapo upande wa mawakili hao, ni vile tu hawataki kumfunga paka kengele hadharani. Wameshika kamba kwa umbali mrefu kidogo huku wakisubiria ONE, TWO, THREE wamtose kwenye kina.

Dah! Haya maisha haya. Akiba ya wema kwa MAMA ndo kitu pekee kitamwokoa kijana huyu.

Je, GSM atakaa kimya? Au naye ataungana na mawakili kushuhudia alivyoporwa 'Kasri' kule Kigamboni kwa kutapeliwa kuwa anamjengea Mzee Baba!

Ngoja inyeshe tuone panapovuja, tutarudi.

Ncha Kali.
saed kubenea
 
ngoja tuone kinachoendelea
 
Huyu mtu alifanya ufirauni wa kutisha kama sabaya!
Kapora sana mali za watu kupitia mgongo wa madawa ya kulevya na bureau de change!
Kanyanyasa watu hadi kwa makabila na kanda zao!
'Kadhulumu' maisha ya watu (Pampeo)
Anaeua kwa upanga nae afe kwa upanga!
 
Hata kama sijui Sheria bado naweza kuhisi hapo hakuna kesi! Kama Bashite angefunguliwa Kesi na Jamhuri kama alivyofunguliwa Sabaya hapo ningeamini.
 
Bwana Bashite alishauriwa kwenda kugombea ubunge kigamboni na wana TISS. hii ilikuJ baada ya bwana JPM Kukaidi amma kushindwa kumuondoa hata pale alivyofanya upuuzi wake wa kishamba kabisa.
Haohao TISS Wakahakikisha hashindi na hii ni baada ya fyatu kutangaza kwamba atakayeshindwa amejiondoa.
TISS ndio wapo nyuma ya mashtaka yake na anaimba kikwao.
Kila 17.3. na iwe sikukuu kwa wapenda haki wote hapa nchini
 
Huyu mtu alifanya ufirauni wa kutisha kama sabaya!
Kapora sana mali za watu kupitia mgongo wa madawa ya kulevya na bureau de change!
Kanyanyasa watu hadi kwa makabila na kanda zao!
'Kadhulumu' maisha ya watu (Pampeo)
Anaeua kwa upanga nae afe kwa upanga!
Great great
 
Hata kama sijui Sheria bado naweza kuhisi hapo hakuna kesi! Kama Bashite angefunguliwa Kesi na Jamhuri kama alivyofunguliwa Sabaya hapo ningeamini.

Hapo huongelei sheria kwa maana ya uhuru na uwezo wa mahakama kuamua, bali unamaanisha maamuzi yanategemea maslahi ya Jamhuri.
 
Back
Top Bottom