Nani yupo 'nyuma' ya mashitaka dhidi ya Makonda?

Kuna baadhi ya majina kama yangehusishwa na hiyo kesi ingeleta matumaini, lakini hayo uliyoandika hapo juu hayana maana.

1. Cloudz Media.
2. Mo.
3.Ben Saanane (kama angekuwepo)
4. Ruge (kama angekuwepo).
5. Lissu
 
Aliyefungua mashitaka ni Saed Kubenea , amefungua kwa niaba ya Wananchi
Amewasadia sana Serikali maana wanajivuta vuta, nani amfunge ”PAKA Bashite ”kengere.
Napesa za misaada wanazitaka.
Wananchi kila aliedhurumiwa apeleka ushahidi sasa. Bashite afungwe na misaada atapata kwa wingi bi, Tozo.
 
Kuna baadhi ya majina kama yangehusishwa na hiyo kesi ingeleta matumaini, lakini hayo uliyoandika hapo juu hayana maana.

1. Cloudz Media.
2. Mo.
3.Ben Saanane (kama angekuwepo)
4. Ruge (kama angekuwepo).
5. Lissu
Watakuja wengi wengi kutoa ushahidi. Tulieni nchi inakosa misaada kwa sababu ya Bashite. Na bi, Tozo anapenda misaada.
Bashite afungwe .. afungwe..!
 
Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.

Japo CMG wamekanusha hawahusiki, yaani ni kama wamejitoa [wamenawa] kishkaji.

Inasemekana 'mainjinia' wakuu wapo Mtama na Bumbuli. Japo Bibie amejitahidi sana kumkingia kifua mtoto pendwa, lakini imebidi liachwe mikononi mwa Mawakili Wasomi wanaoitwa wa kujitegemea.

Wanene wengi wa mfumo wapo upande wa mawakili hao, ni vile tu hawataki kumfunga paka kengele hadharani. Wameshika kamba kwa umbali mrefu kidogo huku wakisubiria ONE, TWO, THREE wamtose kwenye kina.

Dah! Haya maisha haya. Akiba ya wema kwa MAMA ndo kitu pekee kitamwokoa kijana huyu.

Je, GSM atakaa kimya? Au naye ataungana na mawakili kushuhudia alivyoporwa 'Kasri' kule Kigamboni kwa kutapeliwa kuwa anamjengea Mzee Baba!

Ngoja inyeshe tuone panapovuja, tutarudi.

Ncha Kali.
Jinai haina expires date,alitenda jinai anapaswa kushitakiwa kwani yeye si hana kinga, kuhusu nani yuko nyuma MTU yeyote mpenda haki atakuwa upande wa mashitaka.
 
Ni hoja ya swali.

Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.

Japo CMG wamekanusha hawahusiki, yaani ni kama wamejitoa [wamenawa] kishkaji.

Inasemekana 'mainjinia' wakuu wapo Mtama na Bumbuli. Japo Bibie amejitahidi sana kumkingia kifua mtoto pendwa, lakini imebidi liachwe mikononi mwa Mawakili Wasomi wanaoitwa wa kujitegemea.

Wanene wengi wa mfumo wapo upande wa mawakili hao, ni vile tu hawataki kumfunga paka kengele hadharani. Wameshika kamba kwa umbali mrefu kidogo huku wakisubiria ONE, TWO, THREE wamtose kwenye kina.

Dah! Haya maisha haya. Akiba ya wema kwa MAMA ndo kitu pekee kitamwokoa kijana huyu.

Je, GSM atakaa kimya? Au naye ataungana na mawakili kushuhudia alivyoporwa 'Kasri' kule Kigamboni kwa kutapeliwa kuwa anamjengea Mzee Baba!

Ngoja inyeshe tuone panapovuja, tutarudi.

Ncha Kali.
Semenya wa ukaldayo unatema madini yaliyojitosheleza na kushusha nondo hatarii za kutosha.
 
Back
Top Bottom