Nani yupo nyuma ya kampeni ya kumchafua Chongolo?

Pamoja na yooote. Hakuna ushahidi wowote ule unao suggest haya ni ya ndani ya chama bali yanatengenezwa na wapinzani wa nchi kutaka kujaribu kuwashawishi pro Magulification of Africa kuwa kuna Vitendo vya Ukatili, dhuluma n.k vinafanyika chini ya Uongozi wa Makonda ambavyo vinaleta taswira ya Sintofahamu na Uhasama.

Haya mazingira ya Uhasama ni yale yale yaliyojengwa na Wapinzani kipindi cha Hayat Rais. Hiyo ni hatari kwa Usalama wa Nchi. Wadhibitiwe ipasavyo.

Hii kutaka kulazimisha kuwa kuna mtu mwenye nguvu na mamalaka zaidi ya Amri Jeshi mkuu. Ni kujenga mazingira ya Uhasama Uhasama, tena ule wa Visasi na wivu.

Pamoja na mapungufu ya CCM, Uhasama huu unaonyesha mapungufu ya Vyama vikubwa vya Upinzani Tanzania. Hawana nia njema na hali ya Utulivu iliyopo.
 
“Wana CCM hatuaminiani ndio maana ukiacha glass ya maji ukatoka nje ukirudi huwezi kuinywa” - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga.

Nimeanza kumnukuu aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm, Mzee Kikwete kuhusu hali ya kutoaminiana baina ya wanachama wa chama hiko.

Huko katika mtandao wa X zamani twitter, kuna baadhi ya wadau wanamshambulia Katibu Mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa tuhuma mbalimbali.

Wameenda mbali zaidi wakitaka avuliwe uongozi lakini kwa tuhuma zinazoonekana za kupika.

Je, Chongolo kachokwa ndani ya Chama? Nani yupo nyuma ya mpango wa kumuondoa Chongolo kwa fitna huko chamani?
Watajuana wao maana kusikia kwa kenge mpaka damu itoke masikioni. MAREKANI WALISHATUSAIDIA WAKASEMA BASHITE HAFAI NI MUUWAJI
 
“Wana CCM hatuaminiani ndio maana ukiacha glass ya maji ukatoka nje ukirudi huwezi kuinywa” - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga.

Nimeanza kumnukuu aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm, Mzee Kikwete kuhusu hali ya kutoaminiana baina ya wanachama wa chama hiko.

Huko katika mtandao wa X zamani twitter, kuna baadhi ya wadau wanamshambulia Katibu Mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa tuhuma mbalimbali.

Wameenda mbali zaidi wakitaka avuliwe uongozi lakini kwa tuhuma zinazoonekana za kupika.

Je, Chongolo kachokwa ndani ya Chama? Nani yupo nyuma ya mpango wa kumuondoa Chongolo kwa fitna huko chamani?
Ebu eleza hizo tuhuma zinahusu nini? Zitaje tuone kama zina ukweli wowote.
 
NNa
Kweli ni Siasa za Maji taka
Kwanza kabisa ukitizama hiyo nyaraka(title ya usajili wa gari) utaona kabisa ina mapungufu mengi.

Mfano gari limeandikwa ni Jeupe, picha ya gari ni Kijivu, isitoshe muono wa mbele wa gari aina hiyo ya 2012 ni tofauti na gari pichani.

Hakuna mchawi, ila anatengenezwa.
Namba ya gari inayoonyeshwa na Namba ya gari kwenye kadi ni tofauti.
Hiyo tu inatosha kuleta mashaka dhidi ya ukweli wa tuhuma dhidi ya Chongolo!
 
“Wana CCM hatuaminiani ndio maana ukiacha glass ya maji ukatoka nje ukirudi huwezi kuinywa” - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga.

Nimeanza kumnukuu aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm, Mzee Kikwete kuhusu hali ya kutoaminiana baina ya wanachama wa chama hiko.

Huko katika mtandao wa X zamani twitter, kuna baadhi ya wadau wanamshambulia Katibu Mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa tuhuma mbalimbali.

Wameenda mbali zaidi wakitaka avuliwe uongozi lakini kwa tuhuma zinazoonekana za kupika.

Je, Chongolo kachokwa ndani ya Chama? Nani yupo nyuma ya mpango wa kumuondoa Chongolo kwa fitna huko chamani?
Wale wanaotaka Kinana aondoke ndio wasiomtaka chongolo , hii ni kwa sababu chongolo alikuwa mshika begi wa Kinana kwa miaka mingi
 
“Wana CCM hatuaminiani ndio maana ukiacha glass ya maji ukatoka nje ukirudi huwezi kuinywa” - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga.

Nimeanza kumnukuu aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm, Mzee Kikwete kuhusu hali ya kutoaminiana baina ya wanachama wa chama hiko.

Huko katika mtandao wa X zamani twitter, kuna baadhi ya wadau wanamshambulia Katibu Mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa tuhuma mbalimbali.

Wameenda mbali zaidi wakitaka avuliwe uongozi lakini kwa tuhuma zinazoonekana za kupika.

Je, Chongolo kachokwa ndani ya Chama? Nani yupo nyuma ya mpango wa kumuondoa Chongolo kwa fitna huko chamani?
Wacha wapambane.
 
Back
Top Bottom