Nani yupo macho?

Nani yupo macho?

Mimi hapa niko macho just zimetoka kufuatilia game za uefa..kwa sasa hapa nilipo mi saa 11 alfajiri ..ghorofa namba 10..room 30....sina huzuni nina furaha KIASI...lisaa limoja baadae naenda shopping..narudi kuendelea kuangalia movie na kujipikia vyakula
 
Sema hi huko ughaibuni ,ukirudi bongo njoo na mikuku ya huko tuile kaka
 
Mimi hapa niko macho just zimetoka kufuatilia game za uefa..kwa sasa hapa nilipo mi saa 11 alfajiri ..ghorofa namba 10..room 30....sina huzuni nina furaha KIASI...lisaa limoja baadae naenda shopping..narudi kuendelea kuangalia movie na kujipikia vyakula
Peke yako!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom