Nani yupo katika train ya Mwakyembe mda huu,tupige Gumzo

Nani yupo katika train ya Mwakyembe mda huu,tupige Gumzo

mmh.n sjawah panda kwa kweli.vp bei n sh ngap?na znapta wap to wap???
 
Tabata Matumbi nw,hapa train inashusha watu wengi,nw tuelekea Tabata mwananchi,hapa nami naachia Siti
 
mmh.n sjawah panda kwa kweli.vp bei n sh ngap?na znapta wap to wap???

Nauli Mia 4,kutoka ubungo maziwa,mabibo,mwananch,matumbi tabata,bugurun kwa mnyaman,bakhresa,Kamata(kariakoo),station mwisho
Mda asubuh,saa kumi,saa kumi 2,na saa 2 usiku
 
Nimeshashuka mdaaa,nimetoka
Saa 2 kamili,kufika tabata mwananchi 2: 30
 
Back
Top Bottom