thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Jana siku ya Jumatatu tarehe 20/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.
Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.
Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.
Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA, mashambulizi yalikuwa makali sana .
Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana.
Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes, lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisiasa.
Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.
Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.
CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa.
Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu binafsi tu.