Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Hatuna mpango wa kulala leo
Huku msidhani nimewakimbia@farkhina lile dili lakuuza zile ngoma za voda jamaa wamenistukia siunajua nilishaanza kuzishusha sasa natafutwa bily ulinipa dili lakuuza Malawi na Zambia sasa mwenzenu kibarua sina tena,ndio maana huku siingii jamaa watanikamata Jerrymsigwa usione kimya ila my dia wangu mimi49 anajua mkasa huu wote hata Rugebwe79 alimuhadithia pia
Na picha hujaielewaa???
Habar za ucku
poa, uko klabu gani?Habar za ucku
jerry hicho nini kwenye avatar yako?Yeah humu poa tuu
jerry hicho nini kwenye avatar yako?
Peopleeeeeee..
Hamjambo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Peopleeeeeee..
Hamjambo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mjukuu, bado unaitafuta njia ya kwenda motoni??nshakaguliwa na babu Asprin....Huko kwako we najisajili nini tena???:A S 39:
babu hujalala tu bado?Mjukuu, bado unaitafuta njia ya kwenda motoni??
Ulishakaguliwa, fanya kazi yako mama. Mie nathibitisha uko salama bila kujali chochote. Hongera mjukuu mwema, wewe u mwadilifu sana.
Ndio, nimesema mimi babu.
babu hujalala tu bado?
babu hujalala tu bado?
Poa kbs za ijumaa?