Nani yuko macho tupige stori?

Kama nilisikia ulienda selo,au nafananisha?πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Kuna bwana mdogo alikuja na stress zake huku chit chat asijue huku ni stress free zone , kaja kijinga nikamrudisha kipumbavu, si akaniripoti kwa kaka abuse....!? nikapewa ban ya mwezi... nikakata rufaa nikaachiwa in less than 22 hours. thumb up kwao mods..
 

Hongera sana....welcome back
 
Wa Wa Waaaaaa.....
 
Ule mduara wa jana uliishia wapi farkhina mi mpaka nkasinzia na khanga kiunoni mwe....Viatu safari hii nilikumbuka kuvua ha ha haaaaa au sijui nilivuliwa?:confused2:
Cc Ngongoseke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…