Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
Sijakimbia mkuu nilikua nakata limao la kulia samaki
Leta maji ya kunawa kbs,amsha hao wengineUkija njoo na chumvi
Sijakimbia mkuu nilikua nakata limao la kulia samaki
Leta maji ya kunawa kbs,amsha hao wengineUkija njoo na chumvi
Hahahaha,moto tuue bacteriaNipo single bwana weee
Maji moto au baridi?
Ila watamu sanaSamaki hawa wanashombo
USisahau sabuni
Mmnh..Samaki hawa wanashombo
USisahau sabuni
Pole sana,malizia kichwa mie namalizia mkiaDaaaaah
Watamuuu sanaaa.
Ila nimekabwa na mifupa wakati namalizia Tonge la mwisho.
Ngoja Kwanzaa nikanywe maji
Ukiona kimya ujue nimedanji.
Kwa nin usijisogeze hapa nikusaidie?Daaaaah
Watamuuu sanaaa.
Ila nimekabwa na mifupa wakati namalizia Tonge la mwisho.
Ngoja Kwanzaa nikanywe maji
Ukiona kimya ujue nimedanji.
Woyoooo,oi oi oiTeam popo![]()
karibu
I don't drink
basi hiiHuyo anokula samaki usiku huu shauri ake atatafunwa Na panya anawe tu mikono vizuri